Muhimbili wakataa kumpatia kijana maiti ya mkewe kwa kushindwa kulipa deni

Katika mojawapo ya viongozi wenye roho mbaya ni hii serikali ya Tanganyika, yaani hawana hutu kabisa, naipa hongera serikali ya SMZ chini ya Mh Shein haya mambo huwez yaona wala kusikia ila huku Tanganyika kuna jitu huwa linaona fahari kumwaga pesa kwa mtu mmoja mmoja badala ya kurekebisha mifumo na sheria kama hizi.....poor Tanganyika
 
Kodi ya marehemu kipindi cha uahai wake ndiyo imenunua tembe zilizomtibu na ndo anadaiwa tembe hizo ambazo "hazikulipiwa"

Tanzania
 
Hahaha mila zetu zinafurahisha, kuna wenzetu huko Marekani wanazikimbia maiti, kwakukosa pesa za kulipia gharama za mazishi, wao wanaita funeral cost.

Hapa kwetu mtu unapigania upate mwili wa marehemu ukamzike.

Sitanii, na pia naelewa ndugu aliyefariki anavyo umiza mioyo ya waliobaki.
Lakini naelezea tofauti ya tamaduni za mazishi.

Kule kwa wenzetu kuzika gharama sana.
 
Inaumiza sana.kama hata hela ya nauli tu hana.je ya kulipa angetoa wapi.
Pole sana kaka.
Na mtoto mdogo kaachiwa😭
Wewe fikiria kuyo kijana kauguza mkewe kwa muda wa wiki mbili. Kwa maana hiyo, ukuchukua gharama za kule Ligula alafu oungeza nauli ya kutoka Ligula hadi Dsm pamoja na mambo mengine ya kufungua file nk. Lazima kijana aliishiwa fedha.
 
Ukweli lazima usemwe. Huyu jemedari wenu kwa kipindi cha miaka minne tu, zaidi ya trilioni 2.5 HAZIJULIKANI ZILIPO.

Pesa hizo ni zaidi ya pesa zote zilizoibwa kwa awamu zote tangu uhuru, mnawezaje kusifia, kuimbia mapambio na kutukuza MHALIFU WA NAMNA HII?
 
Wewe jamaa unasapoti serikali kuuzuia maiti isichukuliwe na ndg kwasabb eti haina hela za kulipa?hivi nchi hii ina classes siku hizi..ninyi ambao baba zenu wamewachia mali za kurithi mnashindwa kuelewa madhira ya watu maskini katka nchi hii.
Tusikimbilie tu Kutafuta Huruma na tukumbuke pia kuwa hata hiyo Hospitali nayo inahitaji hizo Pesa ili iweze Kujiendesha na pengine hata Kuwalipa Mishahara Wafanyakazi Wao ambao yawezekana hata baadhi yao ni Ndugu zetu hapa hapa JF na ni kupitia hiyo Mishahara yao ndiyo nasi tunaweza kwenda Haja Maliwatoni.

Siungi mkono hiki kwakuwa katika hali ya Kibinadamu Kinaumiza na Kusikitisha ila nadhani kuna mahala Mfiwa nae pamoja na Familia yake walikosea. Nina uhakika baada ya Wao ( Kifamilia ) kujijua kuwa Kiuchumi hawako vyema basi ama wangetoa Taarifa huko Hospitalini ili ama wapunguziwe hiyo Gharama au hata Wasamehewe. Binafsi hili nimelishuhudia kabisa.

Tatizo letu Kubwa Watanzania huwa tunakuwa wepesi mno Kumuonea Mtu Huruma au Kutafuta Huruma juu ya Jambo fulani ambalo limemkuta kwa muda huo lakini hapo hapo tunajisahaulisha kwa Makusudi kuwa kila zama na Kitabu chake na kwamba kila Taasisi ina Utaratibu wake. Kama kweli tunaonyesha Uchungu na Huruma hii nadhani bado kama wana JamiiForums hatujachelewa Kumchangia chochote huyu Mfiwa ili akazike.
 
Enyi Wadanganyika msihadahike na ULAGHAI wa mtu anayejiita "Raisi" wa Wanyonge, CCM ina wenyewe. Mkajifunze kwenye uteuzi wa Mgombea Urais wa CCM kwa upande wa Zanzibar huko.
 
sasa huyu ndiyo mnyonge!!!!natumai baba wa wanyonge atatoa tamko kama ilivokuwa kwa yule mama wa Lori pale wami!
 
Wewe jamaa unasapoti serikali kuuzuia maiti isichukuliwe na ndg kwasabb eti haina hela za kulipa?hivi nchi hii ina classes siku hizi..ninyi ambao baba zenu wamewachia mali za kurithi mnashindwa kuelewa madhira ya watu maskini katka nchi hii.

Ni bahati mbaya huna Akili halafu umeshindwa pia Kukielewa kile nilichokiandika kutokana na Upumbavu wako. Rejea Kusoma tena nilichokiandika.
 
CCM ni chama Cha kindulikinadai pesa Hadi maiti, haya kaeni sasa na huyo marehemu
Mkuu hizi akili za kutotofautisha watumishi wa umma na wale wa serikali ni za kwako ?

Madaktai ni ccm?

Nataka moyo kuwa mfuasi wa chadema, màana kwenu ni shida kutofautisha kati ya serikali,chama na wafanyakazi wa umma

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom