Muhimbili National Dispensary | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muhimbili National Dispensary

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by meningitis, Jan 21, 2012.

 1. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  Wakuu mnaonaje tukabadilisha jina la hiki kituo chetu cha afya ambacho kilikuwa maarufu sana miaka kadhaa iliyopita kabla ya kuanza kutumika kama Transit Health Facility, yaani kupokea na kuwaweka kwa muda wagonjwa wanaokwenda au kurudi kutoka India.

  1. Influence kubwa ya viongozi wa kisiasa katika maamuzi ya kitaalamu,yaani specialist anaweza amshwa saa tisa za usiku kwenda kuandika referal ya kumpeleka kibosile huko india!!!

  2. Uchafu na mazingira yaliyokosa mpangilio

  3. Msongamano wa wagonjwa

  4. Lazima utaambiwa dawa fulani hakuna,n enda kanunue pale kwenye famasi nje ya geti

  5. Bado kuna tatizo la ukosefu wa vipimo muhimu kama CT scan,ingawa ile ya agha khan na TMJ mara zote huwa vizuri

  6. Bado madaktari ni wachache kulinganisha na idadi ya vitengo vilivyopo,ni bahati sana mgonjwa wako kuonwa na specialist, mara nyingi vijana wetu interns na wanafunzi walioko clinical years wanasaidia kutuonea ndugu zetu.

  Wakuu hebu tuendelee..
   
 2. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  National Dispensary............ongeza machief wake wengi especially consultants hadi kumwona mgonjwa asiye IPPM ni tabu sana,
   
 3. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Kama itasaidia naunga mkono!
   
 4. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  itasaidia kwani tukijua tuna zahanati ya taifa tutaweka mipango ya kuwa na hospitali ya taifa.
   
 5. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  wazo lako linamashiko kiasi chake kama litapata watendaji walio makini na nini wanachokifanya
   
 6. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #6
  Nov 24, 2015
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  Nahisi mambo yanaweza kubadilika sasa
   
 7. Isanga family

  Isanga family JF-Expert Member

  #7
  Nov 24, 2015
  Joined: Feb 25, 2015
  Messages: 4,773
  Likes Received: 3,754
  Trophy Points: 280
  Hata kama haina jina hilo mimi binafsi naitambua ivyo..kuna Stive Biko Academy Hospital,au Great Skill Hospital afrikaans Groot Skill hospital ya kwanza Duniani walifanikiwa op ya heart transplant na kufanikiwa...
   
Loading...