Muhimbili: Miaka 50 ya "Uhuru"

Sigma

JF-Expert Member
Feb 26, 2011
5,006
1,253
Hizi ni wodi mpya katika Hospitali ya taifa ya Muhimbili. taratibu za ufunguzi ziko pending kusubiri ratiba ya mkulu wa inji
 

Attachments

  • DSC05955.JPG
    DSC05955.JPG
    848.6 KB · Views: 371
  • MNH2.jpg
    MNH2.jpg
    190.2 KB · Views: 376
  • DSC05956.JPG
    DSC05956.JPG
    1.1 MB · Views: 377
  • MNH3.jpg
    MNH3.jpg
    130.1 KB · Views: 387
At leasst the indian-mhindi- built this hospital SewaHaji- otherwise this country would never had a hospital!
 
Wazungu wangekuwa WD 4 wangefurahi sana manake wangekuwa brown!
 
Kama sio loliondo, twalazwa ka mitumba,
Usidhani ni uhondo, hatulali kwenye nyumba
Drip kwenye mipodo,zahanati kwa kuyumba,
Miaka 50 ya Uhuru, hakika tumesonga mbele


Wamama na yao matumbo, bajaji wazipakia
Kweli hawana tambo, sakafuni wajifungulia,
Matabibu huwa jambo, wagonjwa kuangaliia,
Miaka 50 ya Uhuru, hakika tumesonga mbele

Nani anabisha??????

Jeuri ya chama Twawala.
 
Jamani hizi picha ni miss-leading sana!! Wakati wa kupiga deki wodini wagonjwa hutolewa nje, na hizi picha zilipigwa wakati huo. Aliyezipiga asiwalaghai watu bure!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom