Muhimbili matibabu yalejea kwa kasi wagojwa wamiminika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muhimbili matibabu yalejea kwa kasi wagojwa wamiminika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kachanchabuseta, Jul 15, 2012.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Leo nimepita mitaa ya muhimbili wagojwa wanamiminika kwa wengi
  Mgomo utakuwa umeisha

  Hawa walikuwa wanasubiri kutibiwa

  [​IMG]
   
 2. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Huduma imerudi kwa kasi... Wanasubiri kutibiwa?? Nilifikili wameshatibiwa!!!
   
 3. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Ulivyo mpumbavu unashindwa hata kujua kuwa kwenye huduma bora mtu haitaji kungojea! Hivi nyie ni watu wa kawaida, vibwengo, au....??
   
 4. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,127
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  It hurts to learn that those whose work is driven by self motivation are demoralized....you can force a donkey to the river but you can never force it to drink water.
   
 5. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Kuna watu wananuna wakisikia huduma zimerejea kwenye hali yake ya kawaida. Wanatamani wamtume Mwita Mwikabe na vijana wao wakawaponde mawe wagonjwa hadi wafe.
   
 6. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Pumba...
   
 7. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Wamerejea madaktari au wagonjwa!? Sijakuelewa kabisa.
   
 8. M

  Mzee wa fund JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 520
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  safi sana nilitaka kuweka like.Lakini kitufe cha like kipo mbali.
   
 9. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wanasubiri kwenda kuangalia wagonjwa waliolazwa.
   
 10. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,183
  Likes Received: 1,184
  Trophy Points: 280
  zitarudi vp kuwa za kawaida wakati zaidi ya madaktari 200 wameondolewa bila replacement? Wakati mwingine muwe mnatumia akili kufikiri
   
 11. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Kuhudhuria Hospitali is one thing, kupata huduma bora za Afya is another thing!
  If u can not convice them, confuse them!
   
 12. N

  Njaa Mbaya JF-Expert Member

  #12
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 667
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Hata wakienda vifaa hakuna labda kama profesa maji marefu apelekwe maana yeye anatamka tu na wagonjwa wanapona yeye haitaji vifaa kwa utaalamu alionao. Vinginevyo hizo ni propaganda zisizo na tija
   
 13. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #13
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Ningekuelewa vizuri kama ungetuonyesha na uboreshaji wa mazingira ya huduma kama vifaa vipya nk. Ninachofahamu mimi Madaktari wamerudi ku-certify vifo vinavyohepukika baada ya serikali yetu kugoma kutuboreshea huduma na kufanya propaganda tulizoziamini kutokana na sintofahamu/hujinga wetu.
   
 14. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #14
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,860
  Trophy Points: 280
  Kulejea ndio kitu kagi?
   
 15. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #15
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Good show... kumbe ulimboka alikuwa peke yake kwenye mgomo????

  Hayupo wenzake wanaendelea na kazi.
   
 16. K

  Kikwebo JF-Expert Member

  #16
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 25, 2006
  Messages: 352
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Duuh! Hili ni pigo kubwa sana kwa magwanda!
   
 17. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #17
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Hahaha. Umenifurahisha ndugu. Na utashangaa ni jinsi gani watu wanakua confused kirahisi. Angalia hapo juu eti ni pigo kwa magwanda!
  Hahaha watu wa chama changu bwana. Dah!
   
 18. Prisoner 46664

  Prisoner 46664 JF-Expert Member

  #18
  Jul 16, 2012
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 1,955
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Kuna tofauti kati ya ara na ero mheshimiwa
   
 19. Wachovu

  Wachovu JF-Expert Member

  #19
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 1,197
  Likes Received: 388
  Trophy Points: 180
  Wamerudi kumwona Daktari au kutibiwa
  .Msifanye mchezo hakunatiba hapa tutazidi kufa kwa ujuinga wa wanasiasa . Shida ya watanzania ni kukurupuka tu ndio maana walijazana kwa Babu Loliondo kama mapunguani. Tunapashwa kutambua tofauti ya kutibu na kumwona dakatari.
  Kweli mnaokwenda Muhimbili tambua hilo , hakuna Tiba hapo
   
 20. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #20
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,644
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  We acha tu mkuu.. kuna watu wengine utadhani misukule yani
   
Loading...