Muhimbili hospital | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muhimbili hospital

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by SIMBA mtoto, Jul 19, 2011.

 1. SIMBA mtoto

  SIMBA mtoto JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 208
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Wana JF mlioko maeneo ya hospitali ya taifa ya Muhimbili, nimesikia tangu jana, Mawaziri, Rais wastaafu, Spika, wabunge, wakuu wa mikoa wamekuwa wakiingia na kutoka kwa misafara hospitalini hapo jambo ambalo siyo la kawaida, je kuna tukio gani ndani ya hospitali?
   
 2. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Pressure juu mkuu, huenda na budget zao zisipite magamba nao wameamka usingizin......Siungi mkono hoja.
   
 3. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kwani wanatibiwa Muhimbili kuanzia lini?
   
Loading...