muhim sana nimechoka kuishi bila mke.nataka mke

D2050

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
1,901
1,063
ndugu zanguni,ninaumri 32.natafuta mke ili tuyaanze maisha pamoja.Nipo songea.
dini siyo kigezo kwangu wala elimu.napenda mwanamke asiye tumia mkorogo.18-30 umri

No 0653109366
 
ndugu zanguni,ninaumri 32.natafuta mke ili tuyaanze maisha pamoja.Nipo songea.
dini siyo kigezo kwangu wala elimu.napenda mwanamke asiye tumia mkorogo.18-30 umri

No 0653109366

Hebu ambatanisha CV yako includes the following:-

1. Kabila
2. Elimu
3. Dini
4. Ujuzi
5. Taarifa za benki
6. Mali unazomiliki...
7. Muonekano wako (mrefu / mfupi
8. Rangi yako
9. Uzito wako
10. ...................

Natania mkuu... Ngoja waje!
 
Usijali,
 
^^
Hao wasiotumia mikorogo wamekuwa bidhaa adimu sana.
Kila la kheri.
^^
 
Hebu ambatanisha CV yako includes the following:-

1. Kabila
2. Elimu
3. Dini
4. Ujuzi
5. Taarifa za benki
6. Mali unazomiliki...
7. Muonekano wako (mrefu / mfupi
8. Rangi yako
9. Uzito wako
10. ...................

Natania mkuu... Ngoja waje!

Usijali,nimezaliwa sumbawanga mnyakyusa,

Mrefu wastani majiya kunde. Kipato changu nikidogo.
 
Usijali,nimezaliwa sumbawanga mnyakyusa,

Mrefu wastani majiya kunde. Kipato changu nikidogo.

Haya endelea kusubiri,hakikisha tu simu yako ina charge yakutosha.
Kila la kheri
 
Baba ulipoweka hiyo red wanawake wanayachukia hayo maneno daah i can see live bila chenga mke yulee unakosa anasepa kwa mwenye kipato kikubwa
 
Hapa kwangu niupendo wakweli.pesa namagali yanatafutwa.

Mwenye nia yakuwa mke nitamfahamisha nini namiliki.

siku hizi kwenye umaskini upendo wa kweli ni kama umeisha mkuu,,,,,,,,,,,,,,,

tangaza unamiliki nini uone simu zinavyomiminika..........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom