ndugu zanguni,ninaumri 32.natafuta mke ili tuyaanze maisha pamoja.Nipo songea.
dini siyo kigezo kwangu wala elimu.napenda mwanamke asiye tumia mkorogo.18-30 umri
No 0653109366
Hebu ambatanisha CV yako includes the following:-
1. Kabila
2. Elimu
3. Dini
4. Ujuzi
5. Taarifa za benki
6. Mali unazomiliki...
7. Muonekano wako (mrefu / mfupi
8. Rangi yako
9. Uzito wako
10. ...................
Natania mkuu... Ngoja waje!
Hebu ambatanisha CV yako includes the following:-
1. Kabila
2. Elimu
3. Dini
4. Ujuzi
5. Taarifa za benki
6. Mali unazomiliki...
7. Muonekano wako (mrefu / mfupi
8. Rangi yako
9. Uzito wako
10. ...................
Natania mkuu... Ngoja waje!
Usijali,nimezaliwa sumbawanga mnyakyusa,
Mrefu wastani majiya kunde. Kipato changu nikidogo.
Hvi inakuwaje ndoa znatangazwa hapa online wkt mtaani girls wanazisaka sana..
ndoa tamu, wish u all the best
Ulishatatua lile tatizo lako SUZANE?
Usijali,nimezaliwa sumbawanga mnyakyusa,
Mrefu wastani majiya kunde. Kipato changu nikidogo.
hapo kwenye red ndiyo ulipoharibu.
Hapa kwangu niupendo wakweli.pesa namagali yanatafutwa.
Mwenye nia yakuwa mke nitamfahamisha nini namiliki.
tena katibua hasa!! Hahaha... Bora angepausha tuu