Muheza, Tanga: Viongozi wanne ACT Wazalendo wafikishwa mahakamani kwa kosa la kufungua ofisi ya jimbo bila kibali

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,982
144,308
Viongozi wanne wa chama cha ACT Wazalendo, mkoa wa Tanga na Jimbo la Muheza wamefikishwa Mahakama ya Wilaya Muheza kwa kosa la kufungua Ofisi ya Jimbo la Muheza bila kibali. Kwa sasa viongozi hao wapo nje kwa dhamana hadi Septemba 10 mwaka huu.

EDfG1jBX4AEk7Gl.jpg

EDfG27XWsAASX7u.jpg
 
Inasikitisha na kushangaza sana kuona baadhi Watanzania wakimuunga mkono huyo dhalimu mwenye tabia zinazoshabihiana sana na Madikteta Idi Amin, Nguema, Bokassa, Mobutu Seseseko na madikteta wengine Africa na duniani.

Majinga na mabinfsi hayaoni huu ukatili kisa tu yamepewa vyeo au yananufaika na huu utawala kwa namna moja au nyingine!!
 
Mmmh, kama kweli mambo ndio yamekuwa haya... watu kufunguliwa mashtaka kwa (kosa?) la kufungua ofisi...kweli, au kuna kosa jingine Salary Slip?

Na mahakama itasikiliza hiyo kesi? Au hiyo ni njia tu ya kuwatafutia makosa mengine, kama alivyofanyiwa Kabendera?
 
CCM mbona ilikufa kitambo.2015 kwasasa tuna mtu tu ambaye ndiye yupo kwahiyo mtusamehe sana.
 
By Kwanza tv kupitia twitter:

Viongozi wanne wa chama cha ACT Wazalendo, mkoa wa Tanga na Jimbo la Muheza wamefikishwa Mahakama ya Wilaya Muheza kwa kosa la kufungua Ofisi ya Jimbo la Muheza bila kibali. Kwa sasa viongozi hao wapo nje kwa dhamana hadi Septemba 10 mwaka huu.

EDfG1jBX4AEk7Gl.jpg

EDfG27XWsAASX7u.jpg
Fuateni taratibu na sheria za nchi, kila kukicha mnataka utawala wa kisheria ila hamfuati sheria wapuuuuuuuzi nyie
 
Back
Top Bottom