mtongwe
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,572
- 4,257
Mwanaume huheshimika kazini,hudharaulika nyumbaniNyie pigeni kazi bwana we, heshima itakuja tu.
Mwanaume huheshimika kazini,hudharaulika nyumbaniNyie pigeni kazi bwana we, heshima itakuja tu.
Hawa waliobaki ni drama tuu........hawachelewi kukulisha wima na ukitaka ujitutumue ujue utapata na mashtaka ya kujibu mahakamaniMwanamke mwenye huruma na wewe ni alie kuzaa tu (mama mzazi) Hawa wengne drama...
Ndo ujue kazini unatekeleza majukumu yako ila nyumbani hutekelezi ndio maana.Mwanaume huheshimika kazini,hudharaulika nyumbani
Amen.Huyo ambae hajakuhurumia ni wa kwako ni chaguo lako, usitujumuishe tusiohusika maana hautujui
Wanawake tuna huruma sana, huyo wako kuna mahali umevuruga tu sio bure.Alafu kinachoudhi wanawake hawanaga huruma
DahDah....hakuna kipindi cha raha kwa mwanaume kama wakati wa uchumba...ndiyo maana Wanaume wasiopenda ujinga huwa hawavuki hapo
Sio kweli mkuu, wake zetu wana huruma sana, wakati mwingine wanatupa sababu ya uinuka na kupambana hata pale mambo yanapokua magumuAlafu kinachoudhi wanawake hawanaga huruma