Muhaya Steve Dii

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
Huyu mhaya Steve Dii anavibweka si kitoto....




Kikubwa ni aina ya Uvaaji wake akiwa katupia 10% ya hatari, Koti lake mkononi,mbwembwe nyingi, na maneno ya hapa na pale.
Mikato yake kwa nyuma na anavyotembea.....upelekea watu kumshaanga.
 
hapa ni karibu na ujirani mwema kama unaelekea kwa mayunga. but asante kwa kunikumbusha huyu member wa jf Stive dii. mia
 
Last edited by a moderator:
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom