Muhas yatoa suspension kwa wanafunzi zaidi ya 100 kwa kushiriki maandamano trh 8 na 10 dec

lijumbete

Member
Jan 22, 2011
52
10
KTK ule mwendelezo wa sheria kandamizi ndani ya vyuo vyetu hapa nimetoka kukabidhiwa barua ya suspension kwa muda usiojulikana kwa kosa la kufanya maandamano tarehe tajwa hapo juu. Suala linasikitisha coz ni wanafunzi wote walishiriki kwenye huo mgomo lakini sijui hizo criteria zimefikiwajwe. Ifiunake mahali hii nchi wajue kuwa haki ya m2 iheshimiwe coz sisi tulikuwa tunadai kile tunachokiamini pls wanajikwaa hebu litazameni hili kweli Prf Pallangyo ni tatizo kwa muhas
 
kimsingi mimi nadhani kuwepo muda muafaka wa kutekeleza matakwa ya wanafunzi na sio kuwafukuza,kuwafukuza ndio mnahamasisha vurugu zaidi
 
KTK ule mwendelezo wa sheria kandamizi ndani ya vyuo vyetu hapa nimetoka kukabidhiwa barua ya suspension kwa muda usiojulikana kwa kosa la kufanya maandamano tarehe tajwa hapo juu. Suala linasikitisha coz ni wanafunzi wote walishiriki kwenye huo mgomo lakini sijui hizo criteria zimefikiwajwe. Ifiunake mahali hii nchi wajue kuwa haki ya m2 iheshimiwe coz sisi tulikuwa tunadai kile tunachokiamini pls wanajikwaa hebu litazameni hili kweli Prf Pallangyo ni tatizo kwa muhas

pole kwa madhila.
Nikikupa sumu inayouwa taratibu uko tayari kumfunga paka kengele?
I don't care wether huyo bwana ni profesa wala nini, ni heri kuwa na darasa la saba wenye uzalendo kuliko maprofesa mmavi mmavi.
Uko tayari nikupe hiyo kitu?
 
KTK ule mwendelezo wa sheria kandamizi ndani ya vyuo vyetu hapa nimetoka kukabidhiwa barua ya suspension kwa muda usiojulikana kwa kosa la kufanya maandamano tarehe tajwa hapo juu. Suala linasikitisha coz ni wanafunzi wote walishiriki kwenye huo mgomo lakini sijui hizo criteria zimefikiwajwe. Ifiunake mahali hii nchi wajue kuwa haki ya m2 iheshimiwe coz sisi tulikuwa tunadai kile tunachokiamini pls wanajikwaa hebu litazameni hili kweli Prf Pallangyo ni tatizo kwa muhas

Jamani mie mpaka kichwa kina wanga, juzi likuwa kwamba uongozi wa chuo unawatoa waliokuwa wanashikiliwa na jeshi la polisi ili warejee chuoni waungane na wenzao kutafuta muafaka kwa njia ya mazungumzo,leo tena suspension hivi hii nchi vipiiiiii?viongozi wote yaani ni vilaza kabisa na ni full masaburiiiiii katika maamuzi:: ona hapa, spika-posho zimeongezwa tangu juni,katibu wa bunge-hazijaongezwa,ikulu -rais hajasaini, ccm nape-haiungi ongezeko la posho????????????????!!!!!!!!!!
 
Mnaandamana wakati sample ilitolewa kwa wale wa udom mpaka leo wako auti furomu sitadizi, hivi hamuoni jinsi sera kali ya TZ ilivyo kuhusiana na migomo. Lakini pole sana mkuu nadhani huo ndo waweza kuwa mwisho wa kusoma pale muhas. Bati rememba zati kufungwa kwa mlango mmoja ndo mwanzo wa kufunguliwa kwa mlango mwingine.
 
Good work Prof. Kaandamane huko kwenu na familia yako sasa.

Unajifanya mjuaji.
 
Kuna siku moja nilikaa na kiongozi mmoja wa dini,akanieleza kuwa kila kitu kinachomtokea Binadamu katika maisha yake,kinamtokea kwa sababu maalum,kama ulikuwa katika kudai haki na hili likatoke ujue kuna kitu mungu kapanga,usikate tamaa.
 
Back
Top Bottom