Jackbauer
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,038
- 2,199
Tumeshuhudia hivi karibuni Dr Jakaya Kikwete akizawadiwa degree ya heshima katika fani ya afya ya jamii.sababu kadhaa zilitajwa kwanini Kikwete anastahili degree hiyo.
Katika kumbukumbu zangu Zanzibar ni mojawapo ya sehemu iliyoweza kupunguza malaria kwa kiwango cha juu kabisa(eradicated malaria).mafanikio haya yanahusishwa na commitment kubwa ya rais wa awamu iliyopita mh Abed Aman Karume katika kusimamia swala hili.najaribu kutafakari kama kweli MUHAS wana nia ya kweli ya ku-motivate watu wenye mchango mkubwa katika nchi,kwa nini hawakuona mchango wa Karume kule Zenj.
Hii ni alama nyingine jinsi mfumo wetu wa Taaluma ulivyoingiliwa na Siasa.
Tuwaulize MUHAS, why Kikwete and not Karume?
NAWASILISHA.....