Muhamasishaji wa Simba Mwijaku

Matangazo ya mechi ya Jumapili kule Azam TV yalipooza sana.

Angalau leo Mwijaku amekuja na 'It is Not Over' Kazi iendelee pale tulipoishia.
Huyu jamaa anaongeaga pumba. Kwenye kuhamasisha kuelekea Simba day alitoa boko, namnukuu
"Tunakwenda kuwaonesha kuww wao wanawapeleka uwanjani ila sisi tumeleta wakongo ili wafanye featuring na whozu, hii ndio tofauti kati ya wao na sisi. Na pale tunaenda kuwaonesha ni jinsi wakongo wanajua kukata viuno lakini sio wakongo kucheza mpira.

Mwisho wa kunukuu
 
Sishangai

Maana ndio takataka simba ilizokaribisha karibu

Simba should be bigger than lile topolo linaloitwa mwijaku
Duuh, una wivu wa like haswaa, kisa jamaa kapata dili mjini.

Km hukubali wanachofanya wengine hata mwenyewe hutajikubali na wengine hawakukubali. Two way traffic!
 
Mohamed mswahili Simba inatakiwa iende kwenye level za klabu kubwa afrika, Kama Simba unataka watu wamahasike wanatakiwa wafanye vizuri uwanjani hao kina mwijaku ni watu wa kutafuta kick hawana tofauti na Manara
Ni kukopu TU na mazingira wakati mwingine. Klabu kubwa msemaji ni meneja wa timu yaani kocha.
 
Duuh, una wivu wa like haswaa, kisa jamaa kapata dili mjini.

Km hukubali wanachofanya wengine hata mwenyewe hutajikubali na wengine hawakukubali. Two way traffic!
The guys is just rubbish

Simba Kwa miezi hii michache bila manara tumekua na image ya heshima, utulivu na ustaarabu

Sasa tovovo limeingia kitu cha kwanza kuanza kumshambulia msukule

That is not right
 
Back
Top Bottom