Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 27,540
- 34,864
Simba haijafanya vibaya maana hata mashindano hayajaanza...usihitimishe bado mapema sana.Mbona mapema sana kususa kuingia Uwanjani?tuliwaambia hapa kuwa nyinyi hamjui na hampendi mpira bali mnapenda ushindi tuu. Yangu tumepitia magumu miaka 4 but tulikuwa sambamba na timu yetu kwenye shida na raha mpaka tukafikia hatua ya kuingiza mashabiki wengi Uwanjani licha ya kufanya vibaya. Kweli kuimba kupokezana aiseee.