Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,197
Viongozi wetu wakiendelea na tabia ya kuonesha tabia yao ya wizi na udokozi(kama alivyoonesha Mobutu), na kama wakiendelea kumanitain relationship ya Donor-recipient na nchi za west na East, tutaendelea kupondwa tu, mpaka watakapoamua kutuona huruma.
Mimi mpaka leo nasema Tanzania hatuna haki ya kuulalamikia sana ukoloni, kwa kuwa tangu mkoloni ameendoka hatujafanya wonder yoyote ya kujidai kuwa tumeweza kufanya hili, baada ya kumuondoa mkoloni. We must clean our house from inside first, if it is clean enough ndipo tuanze kunyooshea vidole west na watu kama kina Smith.
Mzalendo umesema vizuri sana kuwa first Generation leaders kazi yao ilikuwa ukombozi, waliifanya vizuri walimaliza vizuri na tuliwapa Credit na mpaka leo tunaendelea kuwatukuza. waliofuata walianza kubehave kama wakoloni weusi, even worse than them. Mugabe sasa hivi amekuwa ni most racist, most brutal, arrogant na cruel kuliko Smith. So sad.