Mugabe dakika za Mwisho alijikuta anaungwa mkono na Familia yake pekee

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,472
8,692
Kuna siku nilikaa na Mzimbabwe mmoja hivi akawa ananipa story za Zimbabwe sana sana sapota wa Mugabe, jamaa anasema Mugabe alIkuwa na wapambe wengi sana siku za mwanzo za yeye kuanza kushughulikia Wazungu.

Mugabe aliungwa mkono na Maaskofu, Wasomi na wasio kuwa wasomi, masikini hohehahe kabisa, matajiri ambao wao walikuwa wanufaika moja kwa moja, Jeshi na kadhalika.

Wakati vikwazo vinawekwa wapambe waliendelea kumsapoti kwa nguvu sana na kwamba tutawashinda maadui wetu.

Ila vikwazo vilipo pamba moto wale wapambe wakaanza kupungua mmoja baada ya mwingine,

Walianza watu wa Dini, wakaja wafanya biashara, wakaja mátajiri kwa masikini, Wakaja chama chake na mwisho wana Jeshi.

Kwa kifupi hadi Dakika ya Mwisho Mugabe alijikuta anaungwa mkono na Familia yake pekee.

Tunajifunza hata Tanzania kuna siku tu mtu atajikuta yuko na Familia yake pekee ndio inauo msapoti bado.

Hawa wote wanao shangilia sasa, wapambe wakuu huenda wakaja kuwa wa kwanza kugeuka mtu.
 
Sasa hivi wanamkumbuka Mugabe,Mnangagwa kakubaliana na wazungu kuwalipa fidia na kuwarudishia maeneo yao walio nyang'anywa na wazungu.

Sometimes usijipe matarajio makubwa sana kwa kukiamini kinywa cha mwanasiasa haijalishi ni chama tawala au upinzani.
 
Si walimuunga mkono Mnangwa kumtoa Mugabe? Hata yeye kuna siku atabakia na familia yake tu

Hizo ni propaganda tu. kwanza fahamu yaliyotokea Zimbabwe, wewe umekuwa unapata matapishi tu, hakuna hata moja ambaye alikuwa hamfahamu Robert Gabriel, rejea jinsi Tongogara alivyopotezwa vile vile tofauti kuu mbili za Zombabwe kabla ya kusema uongo/majungu.
 
Jiwe atashangaa Polepole na Bashiru watakavyomgeuka. Yani haya majitu mawili ni mitambo ya kinafiki hata ukiwa angalia tu usoni wanavyoongea utajua.
 
Hizo ni propaganda tu. kwanza fahamu yaliyotokea Zimbabwe, wewe umekuwa unapata matapishi tu, hakuna hata moja ambaye alikuwa hamfahamu Robert Gabriel, rejea jinsi Tongogara alivyopotezwa vile vile tofauti kuu mbili za Zombabwe kabla ya kusema uongo/majungu.
Rudi chooni ujitawadhe halafu uje vizuri
 
Sasa hivi wanamkumbuka Mugabe,Mnangagwa kakubaliana na wazungu kuwalipa fidia na kuwarudishia maeneo yao walio nyang'anywa na wazungu.

Sometimes usijipe matarajio makubwa sana kwa kukiamini kinywa cha mwanasiasa haijalishi ni chama tawala au upinzani.
Hakuna yeyote anayemkumbuka Mugabe wee muongo. Wazimbawe wanataka upinzani uchukue nchi
 
Na hapo ndipo mnapokosea na mtasubiri sana, ni Kiongozi gani wa Tanzania yetu aliyetawala miaka 30 kama Mugabe? Kila Kiongozi wetu miaka 10 mwisho, hivyo ulinganifu wako hauna mantiki, ...
 
Hata kule Jamhuri ya Porto Rica ni watoto wa dada na wanufaika wa karibu ndiyo wapo upande wa Rais.
 
Back
Top Bottom