MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,485
- 8,701
Kuna siku nilikaa na Mzimbabwe mmoja hivi akawa ananipa story za Zimbabwe sana sana sapota wa Mugabe, jamaa anasema Mugabe alIkuwa na wapambe wengi sana siku za mwanzo za yeye kuanza kushughulikia Wazungu.
Mugabe aliungwa mkono na Maaskofu, Wasomi na wasio kuwa wasomi, masikini hohehahe kabisa, matajiri ambao wao walikuwa wanufaika moja kwa moja, Jeshi na kadhalika.
Wakati vikwazo vinawekwa wapambe waliendelea kumsapoti kwa nguvu sana na kwamba tutawashinda maadui wetu.
Ila vikwazo vilipo pamba moto wale wapambe wakaanza kupungua mmoja baada ya mwingine,
Walianza watu wa Dini, wakaja wafanya biashara, wakaja mátajiri kwa masikini, Wakaja chama chake na mwisho wana Jeshi.
Kwa kifupi hadi Dakika ya Mwisho Mugabe alijikuta anaungwa mkono na Familia yake pekee.
Tunajifunza hata Tanzania kuna siku tu mtu atajikuta yuko na Familia yake pekee ndio inauo msapoti bado.
Hawa wote wanao shangilia sasa, wapambe wakuu huenda wakaja kuwa wa kwanza kugeuka mtu.