Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,186
- 79,381
ya Gaddafi yalianza hivihivi Saif Gaddafi alipiga mwanamke Geneva akatiwa ndani mara serkali ya Libya ikakataa kuuza mafuta kwa Uswisi (irrelevent of the contract that existed to retaliate) kisa saadi alikamatwa! Yuko wap huyo Gaddafi ? na Saadi naye yuko Jangwani anatafuta upenyo kutoroka nje ya Libya on fake passport!