Mugabe avunja safari sababu maiwaif wake kanyimwa visa!

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
Mugabe azila mkutano kisa eti mkewe kanyimwa visa!

Grace Mugabe denied Swiss visa, hubby cancels UN trip

by Staff reporter
2011 October 26 07:08:19
View attachment 39966

THE Zimbabwean Government has lodged a protest with the United Nations and the Swiss government after the latter denied visas to six members of President Mugabe's delegation to the International Telecommunications Union summit on information communication technologies underway in Geneva.

President Mugabe was leading the delegation, but cancelled the trip after the First Lady Amai Grace Mugabe, Foreign Affairs Minister Simbarashe Mumbengegwi, Transport, Communications and Infrastructure Development Minister Nicholas Goche, Director General in the President's Department Retired Major General Happyton Bonyongwe, Secretary for Media, Information and Publicity Mr George Charamba, and his aide de camp Senior Assistant Commissioner Martin Kwainona were denied visas.

Information Communication Technology Minister Nelson Chamisa, who was part of the delegation, was granted a visa.

A senior official in the Ministry of Foreign Affairs yesterday confirmed to the Herald that Zimbabwe had lodged a protest with the UN and the Swiss authorities.

"We noted that this was a highly regrettable decision which was a clear violation of the United Nations headquarters host agreement and Zimbabwe's sovereign right to determine the composition of its delegation," the official said.

According to the official, Zimbabwe lodged its protest through the Swiss embassies in Harare and Geneva, the UN in New York as well as to the UN secretary-general, his representative at the ITU and the secretary-general of the ITU, which is headquartered in Geneva.

The ITU is a UN specialised agency for telecommunications.

Bulawayo 24 News
 
A Man's got to do what a Man's got to do! (Actor John Wayne-1939) Yeh hang out with Dude ,Bob.
 
Ukweli Mkutano kama huo wanatakiwa wataalam. Sijui Tanzania kaenda nani. Mkurugenzi wetu wa TRCA inawezekana naye kaachwa na wanasiasa. Aalfu tunashangaa kwa nini tupo tupo.
 
mugabe,ashukuru mungu hana mafuta.angekuwa nayo tungesikia yupo bucha kama alipo kuwa gadafi.
 
Ni viongozi wachache sana ambao wana msimamo kama Mugabe,angelikuwa wa kwetu hapo mngesikia kakwea pipa zamani kuwakilisha.
 
Wizi tu,raisi na mkutano wa telecomms wapi na wapi ? ujumbe lundo wanaenda kufanya nini ? wazungu at times wanapenda kutusaidia japo kwa njia zisizo rasmi,kama kunyima visa za utalii kwa kutumia kodi kwa jina la ujumbe wa mkutano... Mugabe asifiwa kwa lipi hapa ?
 
mugabe,ashukuru mungu hana mafuta.angekuwa nayo tungesikia yupo bucha kama alipo kuwa gadafi.

Una maana Museveni kwa kuwaita hao Marekani wamsaidie kummaliza Kony huko kaskazini amejitafutia mauti kama ya Gaddafi? Maana hawa Marekani hawana urafiki, wakishamuua huyo Kony na drons zao watakujamgeukia Museveni wakitaka awalipe gharama zao kwa mafuta aliyogundua; akikaidi watamfanyizia kama walivyomfanya Gadddafi kiurahisi kwani wakati wanamuwinda huyo Kony wengine watakuwa wanatafuta taarifa za kiintelijensia jinsi ya kumpindua!!
 
Asa mkutano wa telecomunications mijitu yoote hiyo ya nini? kwanini asiende yeye na waziri husika tu

nakubaliana na wewe asilimia zote - kwa nini tunatembeza bakuli kuomba msaada kila siku wakati tunashindwa kutumia vizuri kile kidogo tulichonacho? yaani mijitu inafikiria kwenda kufanya matanuzi na shopping tu
 
Back
Top Bottom