Mugabe amwita Gordon Brown Zimbabwean PM

lakini kwanini jongwe anatumia foul language on the media..hata kama ni kuwachukia akina bush and blair, ama ndio uzee?
 
hii lipoiangalia ile clip nimeona mwana wa africa alivyo na usongo kwa pale tsangarai kuaaaaaaachiwa nchi asubiri mzee afe
 
Back
Top Bottom