Mugabe agoma kuwapigia magoti akina Kikwete, UK, US na UN.

Kungurumweupe

JF-Expert Member
Jun 17, 2008
317
103
Wakuu tafadhali soma habari ifuatayo:


Zimbabwe's Mugabe refuses to bow to world pressure

By ANGUS SHAW, Associated Press

HARARE, Zimbabwe - Saying the world can "shout as loud as they like," President Robert Mugabe refused to give into pressure from Africa and the West and vowed to go ahead with this week's runoff election, even though his opponent quit the race.

South Africa's ruling party issued a toughly worded statement Tuesday calling on Mugabe's government to stop "riding roughshod" over the opposition headed by Morgan Tsvangirai, who quit the presidential contest and sought shelter in the Dutch Embassy.

The African National Congress also warned against international intervention following a report in the Times of London that Britain has drawn up contingency plans for deploying troops in Zimbabwe to resolve a humanitarian crisis and to evacuate British nationals and their dependents.
"A lasting solution has to be led by the Zimbabweans and any attempts by outside players to impose regime change will merely deepen the crisis," the ANC said.

It singled out Britain, the colonial power when Zimbabwe was still Rhodesia, saying it had not followed through on pledges to help fund efforts to put more land in the hands of black Zimbabweans. Britain has cited concerns about corruption.

Campaigning Tuesday, Mugabe was defiant a day after the U.N. Security Council voted unanimously to issue a strongly worded statement condemning violence against the opposition and saying it made a fair poll impossible. The statement won support from South Africa, China and Russia, which have previously blocked such moves.

Mugabe, a vigorous 84, kicked a soccer ball before thousands of cheering supporters and declared he would not back down.

"We will proceed with our election, the verdict is our verdict. Other people can say what they want, but the elections are ours. We are a sovereign state, and that is it," Mugabe said.

"Those who will want to recognize us on the basis of objectivity will do so. Those who don't, keep your judgment to yourselves. Our people are going to vote, and that vote will decide whether we have won or lost."

"They can shout as loud as they like from Washington or from London, or from any other quarter. Our people, only our people, will decide, and no one else," the Zimbabwean leader said.

Mugabe's plan to go ahead with Friday's vote appeared to stem less from a desire to validate his rule than to humiliate Tsvangirai.

Tsvangirai "is frightened of the people," Mugabe told the crowd. "He ran and sought refuge in the Dutch Embassy .... Seeking refuge from what? Nobody wants to harm him."

In pulling out of the race Sunday, Tsvangirai said an onslaught of state-sponsored violence against his Democratic Movement for Change made competing in the runoff impossible.

The party said Tuesday that the chairwoman of one of its provincial branches was the latest victim when she was attacked and seriously injured by Mugabe loyalists in a northern region that has seen some of the worst violence.

The party also said the rural home of its national organizing secretary was attacked Tuesday by Mugabe loyalists in military uniform. The party said the official's 80-year-old father was beaten and two other relatives were shot in the legs.

George Sibotshiwe, a spokesman for Tsvangirai, said the politician had received a tip that soldiers were on the way to his home Sunday, when he announced he was pulling out of the runoff.

Sibotshiwe would not reveal the source of the tip, and said the soldiers' intentions were unclear.
But "the moment you have soldiers coming your way, you just run for your life," Sibotshiwe said. "The only way he can protect himself is to go to an embassy."

Sibotshiwe was speaking in Angola after fleeing Zimbabwe earlier in the week. He said he saw armed men approaching a safe house where he had been staying in Zimbabwe and feared arrest.

Other opposition officials were also in hiding, among them Tsvangirai's campaign manager, Sibotshiwe said, adding that officials were no longer working out of the party's headquarters in Harare for fear of arrest.

Tsvangirai told the Dutch national broadcaster NOS radio Tuesday that the Dutch ambassador had spoken to the Zimbabwean government and received assurances there was no threat. Tsvangirai said he might leave the embassy Tuesday or Wednesday.

But the U.S. ambassador to Zimbabwe, James McGee, said Tsvangirai should be wary of government assurances and that violence was escalating against the opposition as election day approaches.

"There's really nothing that we can do in the international community to stop these elections," McGee told reporters, adding that the embassy expected Mugabe militants to force voters to go to the polls Friday, and to attack anyone who does not.
 
Huyo Ndiye Kaka Pekee Wa Africa Anasulubiwa Kwa Mapenzi Yake Na Africa Na Siasa Zake.

Morgan Asimdhihaki Mzee Wake, Azungumze Naye Kikubwa Tena Kwa Mentally Ya Kiafrika Mzee Ata Cool Down Yaishe.

Ila Kwa Makelele Ya Uk & Us Forget Hakuna Wa Kumruhusu Morgan Ikulu Hapo.

Maana Ni Heri Ya Mugabe Asiyewakilisha Matakwa Ya Kundi Lolote Zaidi Ya Umri Wake Na Ma Comrade Kuliko Kibaraka Morgan Anayevaa Sura Ya Demokrasia Nyeusi Ndani Ya Uweupe.
 
Huyo Ndiye Kaka Pekee Wa Africa Anasulubiwa Kwa Mapenzi Yake Na Africa Na Siasa Zake.

Morgan Asimdhihaki Mzee Wake, Azungumze Naye Kikubwa Tena Kwa Mentally Ya Kiafrika Mzee Ata Cool Down Yaishe.

Ila Kwa Makelele Ya Uk & Us Forget Hakuna Wa Kumruhusu Morgan Ikulu Hapo.

Maana Ni Heri Ya Mugabe Asiyewakilisha Matakwa Ya Kundi Lolote Zaidi Ya Umri Wake Na Ma Comrade Kuliko Kibaraka Morgan Anayevaa Sura Ya Demokrasia Nyeusi Ndani Ya Uweupe.

Mkuu, hapo sina la kuongeza kwani umesema kila kitu. Ukweli ndio huo.
 
Ila jamani for the sake of Millions of Zimbabwean I wish this oldman could go in comma for a while! Jamani wenzetu kule wanateseka si mchezo!
 
Ila jamani for the sake of Millions of Zimbabwean I wish this oldman could go in comma for a while! Jamani wenzetu kule wanateseka si mchezo!

Rwabugiri: Kuna Nchi wanayoteseka kama Tanzania, Zimbabwe kuna umeme mpaka vijijini pamoja na maji safi. Je Tanzania umeme hata mjini anasa. Maisha ya Zimbabwe ni mazuri zaidi ya Tanzania japo wanamatatizo ya kisiasa tu.
 
..nimesikia wazungu wakidai kama uchaguzi hauwezi kuwa huru kama Morgan siyo mshindi.

..the best option sasa hivi ni Jeshi[Zimbabwe Defence Forces] wachukue nchi tu.

..Mugabe na Tsivangarai are just too polarizing to lead Zimbabwe.
 
..nimesikia wazungu wakidai kama uchaguzi hauwezi kuwa huru kama Morgan siyo mshindi.

..the best option sasa hivi ni Jeshi[Zimbabwe Defence Forces] wachukue nchi tu.

..Mugabe na Tsivangarai are just too polarizing to lead Zimbabwe.

And how did you know this?
 
Lakini wakuu ni kwanini Mzee Mbeki hataki kuhudhuria mkutano wa SADC?
 
Haya wapeleke JWTZ wakaokoe Jahazi maana kazi waliyomaliza kuipatia Uhuru Zimbabwe wameshindwa kumueka mzalendo anaejali wazalendo wenziwe nakujiona yeye na ukoo wake ndio wanaostahili kutawala Zimbabwe naona hapa Tz tuweke sheria mwanafamilia akishawi kuwa Raisi wa Nchi basi familia hiyo isiweze kutoa Raisi mpaka baada ya miaka selasini au hamzini ,na mbunge aruhusiwe miaka kumi tu zaidi ya hapo atahisabika kuwa ni fisadi.
yaani mnabadilisha mawazo ya Watanzania kila pembe ili kuficha ufisadi ,mlitupeka darfur ,mara mkatupeleka Lebanon mara mkatupeleka Comoro sasa mnatuelekeza kuliko iva Zimbabwe.
Ila mjue bado tumewashika mashati mafisadi mpaka kijulikane.
 
Mwafrika wa Kike,

..mtizamo wangu unatokana na the fact kwamba kuna Wazimbabwe ambao wako radhi kuchukua silaha ikiwa Tsivangarai atashinda uchaguzi. hao ndio wanaofanya vurugu sasa hivi.

..nchi za magharibi nazo haziko tayari kushirikiana na serikali itakayoongozwa na Robert Mugabe. kwa nchi tegemezi kama Zimbabwe that is a very important aspect and should not be ignored.

..halafu demokrasia ya Zimbabwe haijakomaa kiasi cha kustamili chaguzi ambazo ushindi ni wa percent ndogo mno.

..lakini hayo ni mawazo yangu tu. KUNA UWEZEKANO KABISA KWAMBA NIKO 100% WRONG. USIYATILIE MAANANI SANA.
 
Mzee jongwe.

Huyu mzee ananiacha hoi kwa tabia yake hii. Sijui itakuaje endapo atakuja kuacha uraisi.

article-0-01BA51B800000578-56_224x369.jpg
Mzee jongwe.

article-0-01BA521400000578-102_224x371.jpg
Penalty? Robert Mugabe akipiga mpira kwenye kampeni huko katika mji wa Banket, magharibi ya Harare, jana Jumanne.

Lets wait and see!
 
Mwafrika wa Kike,

..mtizamo wangu unatokana na the fact kwamba kuna Wazimbabwe ambao wako radhi kuchukua silaha ikiwa Tsivangarai atashinda uchaguzi. hao ndio wanaofanya vurugu sasa hivi.

..nchi za magharibi nazo haziko tayari kushirikiana na serikali itakayoongozwa na Robert Mugabe. kwa nchi tegemezi kama Zimbabwe that is a very important aspect and should not be ignored.

..halafu demokrasia ya Zimbabwe haijakomaa kiasi cha kustamili chaguzi ambazo ushindi ni wa percent ndogo mno.

..lakini hayo ni mawazo yangu tu. KUNA UWEZEKANO KABISA KWAMBA NIKO 100% WRONG. USIYATILIE MAANANI SANA.

Nimekuelewa mkuu, nilitaka tu kupata undani wa maelezo yako na si kuwa ninataka kuanza kutilia maanani sasa unachosema.

Thanks!
 
Huyo Ndiye Kaka Pekee Wa Africa Anasulubiwa Kwa Mapenzi Yake Na Africa Na Siasa Zake.

Morgan Asimdhihaki Mzee Wake, Azungumze Naye Kikubwa Tena Kwa Mentally Ya Kiafrika Mzee Ata Cool Down Yaishe.

Ila Kwa Makelele Ya Uk & Us Forget Hakuna Wa Kumruhusu Morgan Ikulu Hapo.

Maana Ni Heri Ya Mugabe Asiyewakilisha Matakwa Ya Kundi Lolote Zaidi Ya Umri Wake Na Ma Comrade Kuliko Kibaraka Morgan Anayevaa Sura Ya Demokrasia Nyeusi Ndani Ya Uweupe.


Je, umewahi kufika Zimbabwe na unaamaini kweli kabisa kuwa Morgan ni Kibaraka wa weupe au umefuatilia propaganda za Mzee Mugabe. Mzee yule anawaamabia watu wake kuwa Morgani ni Kibaraka wa UK na USA na kuwa nchi hizo zinataka ku-recolonize Zimbabwe tena kwa kupitia kwa Morgan! Katika dunia ya leo utajua tu kuwa Mzee huyu anaongea upuuzi kabisa kwani hilo analodai haliwezi kutokea. Lakini anapata wanaomuamini.

leo hii ukienda Zimbabwe na pauni 1 utapata kama trilion moja ya Zim dollars ambazo miaka kumi na mbili tu iliyopita ilikuwa pauni moja kwa Zim dollars kumi tu.
 
Je, umewahi kufika Zimbabwe na unaamaini kweli kabisa kuwa Morgan ni Kibaraka wa weupe au umefuatilia propaganda za Mzee Mugabe. Mzee yule anwaamabia watu wake kuwa Morgani ni Kibaraka wa UK na USA na kuwa nchi hizo zinataka ku-recolonize Zimbabwe tena kwa kupitia kwa Morgan! Katika dunia ya leo utajua tu kuwa Mzee huyu anongea upuuzi kabisa kwani hilo analodai haliwezi kutokea. Lakini anjapata wanaomuamini.

leo hii ukeinda Zimbabwe na pauni 1 utapata kama trilion moja ya Zim dollars ambazo miaka kumi na mbili tu iliyopita ilikuwa pauni moja kwa Zim dollars kumi tu.

Asante Kichuguu kwa kukumbusha hili,

kuna mtu aliandika hapa jana kuwa Mugabe hana kosa lolote na inabidi apewe heshima yake kama mwanapinduzi. Kuna sababu ipi ya kutoa heshima ya kimapinduzi kwa mwanapinduzi ambaye anasababisha matatizo yote haya?!
 
Hivi wananchi wa Zimbabwe mbona wanaendelea kumchagua?Labda jamani khali inayoandikwa na kuonyeshwa kwenye vyombo vya habari inakuzwa!
 
Jongwe hawezi kuiacha ile nchi chini ya Tsvangirai.Tsvangirai hana ubavu wa kuigawa ardhi kwa weusi kwa kuwa atawachukiza UK na Marekani ambao wanamshabikia awe Raisi wa Zimbabwe.Kama Tsvangirai anayo gut basi atamke hadharani kuwa atairudisha ardhi kwa weusi kama alama ya kuwarudishia uhuru na haki kwa wazimbabwe weusi ambao tangu enzi na enzi walisikia tu kuwa nao wanaweza kumiliki ardhi yenye rutuba na siyo kuwa watwana kwenye mashamba ya wazungu.

-Wembe
 
..
..Mugabe na Tsivangarai are just too polarizing to lead Zimbabwe.

This is what people said at the helm of crisis in Kenya. It seems that every opposition leader in Africa who will happen to pose a serious opposition to these ruling cliques there will be a cry of polarisation.

It was somewhat justfied for Kenya where both parties where somehow involved in the violence and the killing that ensued. Lakini kwa Zimbabwe ni kuwaonea kabisa akina MDC maana so far mauaji yote yamefanywa na majeshi ya kihuni ya Mugabe. Sasa how does this make Morgan polarising?

Ukitaka kuepuka fujo huko Zimbabwe ni ukubali kwamba kiongozi ni Mugabe in regardless of what people want. Now are you for this ndugu yangu Joka?
 
Kama kuna mtu anataka kumfahamu Morgan, basi amuulize Arthur Mutambala, bila shaka taarifa zake, zinaweza kuwafumbua wengi macho, ambao hawawezi kufikiri bila ya CNN na BBC.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom