sonaderm
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 618
- 1,816
Mufti wa Tanzania sheikh aboubakary Zubeir bin Ally ameonyesha kwa mfano namna ya uongozi ulio makini wa vitendo na si kulalamika lalamika..Hii picha nimeitoa kwenye page ya mh. ridhiwani Kikwete!
Nafikiri viongozi wetu wa dini wana wajibu wa kuwahimiza wananchi kufanya kazi badala ya kulalamika hasa wakati huu ambapo wananasiasa wanataka kutuaminisha kuna Njaa!
Nafikiri viongozi wetu wa dini wana wajibu wa kuwahimiza wananchi kufanya kazi badala ya kulalamika hasa wakati huu ambapo wananasiasa wanataka kutuaminisha kuna Njaa!