pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,038
- 5,259
Hata mitume Wangekua wababe hivi sidhani Kama wangepata wafuasi
Quran yenyewe imesema hakuna kulazimishana kwenye dini
Quran yenyewe imesema hakuna kulazimishana kwenye dini
Kwakwel hayupo mtu ataridhika kupotezwa wakat ukwel anaujua
Mufti wa Tanzania, Shehe Abubakary Zuberi amesema Baraza Kuu la Waislamu Tanzania halitavumilia tena kunyanyaswa, kuvunjiwa heshima au kuvunjiwa adabu na mtu yeyote.
Shehe Mkuu amesema, Bakwata haitaacha uislamu uchezewe na amewaomba mashehe, maimamu na maustaadhi waheshimu mamlaka na wawe watiifu kwa viongozi.
Amewataka Waislamu warudi kwenye mstari, wajenge mshikamano na amani, wajitambue, wabadilike, waache mazoea na kwamba, amewasamehe waliosema mabaya kuhusu Bakwata.
Ameomba Serikali ielewe kwamba, kwenye masuala ya Waislamu nchini wa kusikilizwa ni Bakwata na kwamba, baraza hilo linasema vitu sahihi kwa mujibu wa Katiba kwa kuwawakilisha Waislamu Tanzania.
“Haivumilii tena kama ilivyokuwa zamani, nikisema haivumilii tena kila mmoja atakuwa na tafsiri yake…hatuvumilii tena, lazima tuhakikishe kwamba Waislamu wanaelewa, na naomba Serikali inielewe wakati nazungumza mambo haya, mnielewe nazungumza kitu gani” amesema.
Ametoa mwito kwa Waislamu Tanzania wazidishe mshikamano, umoja, upendo, watengeneze utaratibu wa maendeleo na kuhimiza waumini mambo ya uchumi na kuwasaidia wenye shida wakiwemo wajane na yatima.
Wakat mwengne hawaend sawa na sheria za kidin ya uislamHiv kwann WAISLAMU wengi waliosoma huwa wanatofautiana na BAKWATA????
Una maana Baba na Mama wa hili baraza ni Marhum Julius Kambarage Nyerere?.Tarehe 14/10/2019 Bakwata inatimiza Miaka 20 ya Uyatima
nikuswalike swali hilii....
Mufti wa Tanzania, Shehe Abubakary Zuberi amesema Baraza Kuu la Waislamu Tanzania halitavumilia tena kunyanyaswa, kuvunjiwa heshima au kuvunjiwa adabu na mtu yeyote.
Shehe Mkuu amesema, Bakwata haitaacha uislamu uchezewe na amewaomba mashehe, maimamu na maustaadhi waheshimu mamlaka na wawe watiifu kwa viongozi.
Amewataka Waislamu warudi kwenye mstari, wajenge mshikamano na amani, wajitambue, wabadilike, waache mazoea na kwamba, amewasamehe waliosema mabaya kuhusu Bakwata.
Ameomba Serikali ielewe kwamba, kwenye masuala ya Waislamu nchini wa kusikilizwa ni Bakwata na kwamba, baraza hilo linasema vitu sahihi kwa mujibu wa Katiba kwa kuwawakilisha Waislamu Tanzania.
“Haivumilii tena kama ilivyokuwa zamani, nikisema haivumilii tena kila mmoja atakuwa na tafsiri yake…hatuvumilii tena, lazima tuhakikishe kwamba Waislamu wanaelewa, na naomba Serikali inielewe wakati nazungumza mambo haya, mnielewe nazungumza kitu gani” amesema.
Ametoa mwito kwa Waislamu Tanzania wazidishe mshikamano, umoja, upendo, watengeneze utaratibu wa maendeleo na kuhimiza waumini mambo ya uchumi na kuwasaidia wenye shida wakiwemo wajane na yatima.
ni nani haendi sawa na sheria za dini.. aliesoma au asiyekuwa na elimu?Wakat mwengne hawaend sawa na sheria za kidin ya uislam
Huyo mufti yuko fit kweli kweli kwenye ulozi,nyumba anayoishi ilipokamilika walikuwa wanapishana washirikina wenzie kutoka kila pande kuja kuiwekea kinga.
Bakwata ni chombo cha serikali na hakuna muislamu yoyote anayejitambua anayeweza kuwachukulia siriaz.
Sababu hawajui dini vichwani wamejaa elimu duniaHiv kwann WAISLAMU wengi waliosoma huwa wanatofautiana na BAKWATA????
BAKWATAni nani haendi sawa na sheria za dini.. aliesoma au asiyekuwa na elimu?
nikuswalike swali hilii....
hiyo bakwata ..muislam mwengine kutoka taasisi nyingine nje ya bakwata.. je anaweza kuwa MUFTI?
acha dhana pia acha kudhalilisha viongozi wa dini ya wenzako please jiheshimu kama unamfikia kiongozi mkuu wa waislam kuwa ataroga huko ni kudhalilisha dini ya wenzao tafadhali kaa kimyaKijana inainekana hujui maneno ya kiutu uzima
Ina maana Mufti angesema "Nitawachukulia hatua kali wale wote wanaonifuatafuata"... wewe huenda ukauliza hivi atawakanyagakanyaga?!
wamelalamika nini hapoTunapenda kulalamika sana waislam kwa kila kitu ndomana tuko nyuma pia kwa kila kitu...
Sasa huo mkwara anampiga nani.acha dhana pia acha kudhalilisha viongozi wa dini ya wenzako please jiheshimu kama unamfikia kiongozi mkuu wa waislam kuwa ataroga huko ni kudhalilisha dini ya wenzao tafadhali kaa kimya
sikatai hoja yako ila suluhisho lake sio kuipa lawama tu kashauri mfumo ubadilishwe pia hayo ya moro ni ya juzi nakwambia miaka ya 70 ilikataliwa kuanzishwa kwa taasisi hizo.Wangekuwa wanapokea ushauli ungesaidia kujenga na kuendeleza uislam.serikali haitaki viongozi wa BAKWATA wenye elimu nzuri ya dini na kisekula.wao wanapenda tuongozwe na viongozi ambao wakikaa nao kwenye vikao watakachosema serikali basi kiwe hichohicho.
tembea vizuri katika viongozi wa bakwata wa wilaya na mikoa ndio utalifaham hilo.kuhusu kubaniwa kujenga mashule na mambo mengine,tumeona taasisi ya islamic ya morogoro wanashule na redio kuna MARKAZI nyingi zinashule. haya mambo yalitakiwa yawe makubwa kwa Bakwata kwasababu ndio waliopewa mali nyingi za waislam kabla ya uhuru na baada ya uhuru.
endeleza dharau zako uone chunga sana dogoSasa huo mkwara anampiga nani.
Watu hawakuelewi. Tanzania hii huenda ingekuwa ni nchi tofauti sana na ilivyo sasa.Tarehe 14/10/2019 Bakwata inatimiza Miaka 20 ya Uyatima
yaani mufti mchawii?Anaroga kila siku mwenzie yamkute ya Gorogosi ila tatizo mzee baba naye yuko fit
kivipi, naomba elimu kidogo hapoKumbe anaongea sahih kwa mujibu wa KATIBA na QURAN na SUNNA!
Na wasomi weng wako tofaut na bakwata kwa 7babu BK ni govenment tool na sio chombo cha muslims.