Mufti wa Tanzania: Bakwata haitavumilia kuvunjiwa heshima wala kunyanyaswa

Hata mitume Wangekua wababe hivi sidhani Kama wangepata wafuasi
Quran yenyewe imesema hakuna kulazimishana kwenye dini
 
Picha

Mufti wa Tanzania, Shehe Abubakary Zuberi amesema Baraza Kuu la Waislamu Tanzania halitavumilia tena kunyanyaswa, kuvunjiwa heshima au kuvunjiwa adabu na mtu yeyote.

Shehe Mkuu amesema, Bakwata haitaacha uislamu uchezewe na amewaomba mashehe, maimamu na maustaadhi waheshimu mamlaka na wawe watiifu kwa viongozi.

Amewataka Waislamu warudi kwenye mstari, wajenge mshikamano na amani, wajitambue, wabadilike, waache mazoea na kwamba, amewasamehe waliosema mabaya kuhusu Bakwata.

Ameomba Serikali ielewe kwamba, kwenye masuala ya Waislamu nchini wa kusikilizwa ni Bakwata na kwamba, baraza hilo linasema vitu sahihi kwa mujibu wa Katiba kwa kuwawakilisha Waislamu Tanzania.

“Haivumilii tena kama ilivyokuwa zamani, nikisema haivumilii tena kila mmoja atakuwa na tafsiri yake…hatuvumilii tena, lazima tuhakikishe kwamba Waislamu wanaelewa, na naomba Serikali inielewe wakati nazungumza mambo haya, mnielewe nazungumza kitu gani” amesema.

Ametoa mwito kwa Waislamu Tanzania wazidishe mshikamano, umoja, upendo, watengeneze utaratibu wa maendeleo na kuhimiza waumini mambo ya uchumi na kuwasaidia wenye shida wakiwemo wajane na yatima.
Kwakwel hayupo mtu ataridhika kupotezwa wakat ukwel anaujua
maswala ya kidin hayafai kabsa kuyaingza direct katka serikal ajaribu kufuata sheria za kidn kama inavyotaka na sio kujpangia yey na serikal yake

kalenda ya kiislam inaongozwa na mwandamo wa mwez
Pia hii n nch ya kidemokrasia kukosolewa kupo
Uislam haumtak mtu apotee
anapngwa kwa sababu matamko yake hayaend saw na mujib wa kiislam

Maon tu
 
Picha

Mufti wa Tanzania, Shehe Abubakary Zuberi amesema Baraza Kuu la Waislamu Tanzania halitavumilia tena kunyanyaswa, kuvunjiwa heshima au kuvunjiwa adabu na mtu yeyote.

Shehe Mkuu amesema, Bakwata haitaacha uislamu uchezewe na amewaomba mashehe, maimamu na maustaadhi waheshimu mamlaka na wawe watiifu kwa viongozi.

Amewataka Waislamu warudi kwenye mstari, wajenge mshikamano na amani, wajitambue, wabadilike, waache mazoea na kwamba, amewasamehe waliosema mabaya kuhusu Bakwata.

Ameomba Serikali ielewe kwamba, kwenye masuala ya Waislamu nchini wa kusikilizwa ni Bakwata na kwamba, baraza hilo linasema vitu sahihi kwa mujibu wa Katiba kwa kuwawakilisha Waislamu Tanzania.

“Haivumilii tena kama ilivyokuwa zamani, nikisema haivumilii tena kila mmoja atakuwa na tafsiri yake…hatuvumilii tena, lazima tuhakikishe kwamba Waislamu wanaelewa, na naomba Serikali inielewe wakati nazungumza mambo haya, mnielewe nazungumza kitu gani” amesema.

Ametoa mwito kwa Waislamu Tanzania wazidishe mshikamano, umoja, upendo, watengeneze utaratibu wa maendeleo na kuhimiza waumini mambo ya uchumi na kuwasaidia wenye shida wakiwemo wajane na yatima.
nikuswalike swali hilii....
hiyo bakwata ..muislam mwengine kutoka taasisi nyingine nje ya bakwata.. je anaweza kuwa MUFTI?
 
Huyo mufti yuko fit kweli kweli kwenye ulozi,nyumba anayoishi ilipokamilika walikuwa wanapishana washirikina wenzie kutoka kila pande kuja kuiwekea kinga.
Bakwata ni chombo cha serikali na hakuna muislamu yoyote anayejitambua anayeweza kuwachukulia siriaz.
68347730_463768134478090_1761429636425711616_n.jpg
 
Kijana inainekana hujui maneno ya kiutu uzima
Ina maana Mufti angesema "Nitawachukulia hatua kali wale wote wanaonifuatafuata"... wewe huenda ukauliza hivi atawakanyagakanyaga?!
acha dhana pia acha kudhalilisha viongozi wa dini ya wenzako please jiheshimu kama unamfikia kiongozi mkuu wa waislam kuwa ataroga huko ni kudhalilisha dini ya wenzao tafadhali kaa kimya
 
acha dhana pia acha kudhalilisha viongozi wa dini ya wenzako please jiheshimu kama unamfikia kiongozi mkuu wa waislam kuwa ataroga huko ni kudhalilisha dini ya wenzao tafadhali kaa kimya
Sasa huo mkwara anampiga nani.
 
Wangekuwa wanapokea ushauli ungesaidia kujenga na kuendeleza uislam.serikali haitaki viongozi wa BAKWATA wenye elimu nzuri ya dini na kisekula.wao wanapenda tuongozwe na viongozi ambao wakikaa nao kwenye vikao watakachosema serikali basi kiwe hichohicho.

tembea vizuri katika viongozi wa bakwata wa wilaya na mikoa ndio utalifaham hilo.kuhusu kubaniwa kujenga mashule na mambo mengine,tumeona taasisi ya islamic ya morogoro wanashule na redio kuna MARKAZI nyingi zinashule. haya mambo yalitakiwa yawe makubwa kwa Bakwata kwasababu ndio waliopewa mali nyingi za waislam kabla ya uhuru na baada ya uhuru.
sikatai hoja yako ila suluhisho lake sio kuipa lawama tu kashauri mfumo ubadilishwe pia hayo ya moro ni ya juzi nakwambia miaka ya 70 ilikataliwa kuanzishwa kwa taasisi hizo.
kuitupia mawe
Sasa huo mkwara anampiga nani.
endeleza dharau zako uone chunga sana dogo
 
Back
Top Bottom