JOHN MADIBA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2011
- 251
- 155
CCM wakakimbilia kwenye madhehebu ya dini ila kujali kuihatarisha amani ya nchi na kuomba wasaidiwe kuilaani chadema....
Tulimwona na kumsikia mufti bin simba akiwaonya CHADEMA kuhusu tukio la DC fatma kimario (mkristo safi) kwani ameolewa na mkristo. alivaa ushungi wala si hijabu. hata mimi hua na vaa kanzu lakini si muislam.
Halafu yakaibuka makundi mengine ndani ya uislam ikiwemo BAKWATA WOTE KWA PAMOJA WAKASEMA WAISLAMU WASIPIGIE KURA CHADEMA IGUNGA IMEDHALILISHA UISLAM. JE HUU MSIMAMO NI WAISLAM WOTE AU NI WALE WAFUASI WA CCM PEKEE.
Tunasubiri kusikia mufti simba atuambie kama huu ulikuwa msimamo wa waislamu.
WAISLAMU mimi mbona nimechanganyikiwa? Mara tuambiwe kuwa CHADEMA hawawapendi Waislamu! Halafu hapo hapo Katibu wa CCM tena anaitwa WILLSON Mkama anasema CHADEMA imeleta makomandoo 'magaidi' toka nchi za Kiislamu, Afghanstan, Pakistan na Libya Palestina! Du!
Siwezi kugombana na rafiki zangu Waislamu kwa sababu za wachumia tumbo wachache wanaoutumia Uislamu kama daraja la dharura! Tena hao CCM wanajifanya kutetea suala la mkuu wa Wilaya wengi wao ni Wakristo! kweli wanawaonea huruma Waislam au njaa zinawasumbua?
Cha kustaajabisha huyo DC sio muislamu safi kwani ameolewa na mkristo na wanatarajia kufunga ndoa kanisani na watoto wanao. Pia hakuvaa hijabu ni mtandio tu.
Kuruani inasema mwanamke wakiislam ni yule aliyeolewa na muislam na anafuata maadili ya kislam. Ndugu zangu waislamu kwanini mnakubali kueendeshwa kama gari bovu, au na nyie mmepoteza dira kama chama fulani.