NUKUU KUTOKA GAZETI LA NIPASHE LEO,
Nawasihi masheikh na viongozi wengine wa kidini tusitoe fursa kwa wanasiasa waliofilisika, na ambao wameshindwa kujihalalisha mbele ya wananchi kwa kutumia sera za vyama vyao, na badala yake wanakimbilia kupeleka fedha misikitini kwa nia ya kuiteka misikiti yetu na nyumba zingine za ibada, na kuifanya kuwa vituo vya kupigia kura na kampeni badala ya kufanyia ibada".
Aliwasihi viongozi wa dini kulinda heshima zao kwa kusimamama imara kupinga kuhusishwa dini pamoja na madhehebu wanayoyaongoza na siasa na wawatazame wanasiasa ambao wanadhani njia ya kuendea Ikulu ni kupitia nyumba za ibada kuwa watu hao ni hatari. Alisisitiza Shekh Mkuu!
Atujulishe atachukua hatua gani kwa wanaokiuka agizo hilo?NUKUU KUTOKA GAZETI LA NIPASHE LEO,Nawasihi masheikh na viongozi wengine wa kidini tusitoe fursa kwa wanasiasa waliofilisika, na ambao wameshindwa kujihalalisha mbele ya wananchi kwa kutumia sera za vyama vyao, na badala yake wanakimbilia kupeleka fedha misikitini kwa nia ya kuiteka misikiti yetu na nyumba zingine za ibada, na kuifanya kuwa vituo vya kupigia kura na kampeni badala ya kufanyia ibada". Aliwasihi viongozi wa dini kulinda heshima zao kwa kusimamama imara kupinga kuhusishwa dini pamoja na madhehebu wanayoyaongoza na siasa na wawatazame wanasiasa ambao wanadhani njia ya kuendea Ikulu ni kupitia nyumba za ibada kuwa watu hao ni hatari. Alisisitiza Shekh Mkuu!
siasa za ccm za makambi, tayari sheikh huyu kashanunuliwa na kambi pinzani ya EL -- yes siasa za mamna hii ni majanga!!NUKUU KUTOKA GAZETI LA NIPASHE LEO,
Nawasihi masheikh na viongozi wengine wa kidini tusitoe fursa kwa wanasiasa waliofilisika, na ambao wameshindwa kujihalalisha mbele ya wananchi kwa kutumia sera za vyama vyao, na badala yake wanakimbilia kupeleka fedha misikitini kwa nia ya kuiteka misikiti yetu na nyumba zingine za ibada, na kuifanya kuwa vituo vya kupigia kura na kampeni badala ya kufanyia ibada".
Aliwasihi viongozi wa dini kulinda heshima zao kwa kusimamama imara kupinga kuhusishwa dini pamoja na madhehebu wanayoyaongoza na siasa na wawatazame wanasiasa ambao wanadhani njia ya kuendea Ikulu ni kupitia nyumba za ibada kuwa watu hao ni hatari. Alisisitiza Shekh Mkuu!
Ina maana wewe hujui maana ya nasaha?(nawasihi masheikh--- aliwasihi viongozi wa dini kulinda....!)Atujulishe atachukua hatua gani kwa wanaokiuka agizo hilo?
Jamani yule ame wanasihi hajatoa agizo wala fatwa!ni nasaha tu mtu anahiyari ya kufuata au kupuuza!Ni tamko muhimu sana lakini lina kasoro nyingi sana ambazo zinafanya lionekane kama porojo tupu, kwa mfano:
1/Tamko Limekuja limechelewa sana, haya mambo yameanza muda mrefu sana lakini Mufti(Sheikh Mkuu) amekuwa kimya hivyo kwa wengine litaonekana lina mlenga Lowassa na Lipumba ambao wameripotiwa sana siku za karibuni kufanya hayo.
2/Kwanini Multi asipige marufuku mtu yoyote kufanya siasa misikitini na badala yake yeye amekataza kwa 'Wanasiasa waliofilisika' tu. Vipi kwa mtu ambaye sio mwanasiasa ama kwa mwanasiasa maarufu(Asiyefilisika)?
Kwa tamko hili bado sheikh mkuu naye inaonekana anatumika na wanasiasa fulani kutoa tamko hii.
3/Ameshindwa kusema ni hatua gani amezichukua kwa waliofanya hayo au atazichukua kama mchezo huo utaendelea.
NUKUU KUTOKA GAZETI LA NIPASHE LEO,
"Nawasihi masheikh na viongozi wengine wa kidini tusitoe fursa kwa wanasiasa waliofilisika, na ambao wameshindwa kujihalalisha mbele ya wananchi kwa kutumia sera za vyama vyao, na badala yake wanakimbilia kupeleka fedha misikitini kwa nia ya kuiteka misikiti yetu na nyumba zingine za ibada, na kuifanya kuwa vituo vya kupigia kura na kampeni badala ya kufanyia ibada".