Du'a ni kitu kizuri maana unaomba shida ni pale Du'a ikiombwa na waru wanafiki Mungu anajuwa hawa watu walivyowanafiki hasa huyu Mufti na kundi lake wanatizama matumbo yao.
 
Basi tuseme bora yy alieoa

ivi leo hii uko mtaani watoto wangapi wanapewa ujauzito ata walowapa hizo mimba hawajulikani?
Watoto wangapi wanazalilishwa huko mitaani?

Nijibu na hili
Chief hizo ni hulka binafsi za watu, watu wa namna hiyo hawawezi kukosekana kwenye jamii, ndiyo maana tunaskia watu wanabaka nguruwe, mbuzi n.k.!

Ila kwa "utakatifu" aliovishwa huyo muheshimiwa, na kwa kila aina ya dhahama aliyoisababishia dunia hii kwa aliyoyahubiri kipindi hicho, na kwa UKARIBU WAKE NA MUNGU WAKE kama tunavyoaminisha, na kwa UUNGU aliovikwa, Naweza kusema hakustahili kufanya hicho alichofanya, na tuna haki zootee za kumjudge
 
Chief hizo ni hulka binafsi za watu, watu wa namna hiyo hawawezi kukosekana kwenye jamii, ndiyo maana tunaskia watu wanabaka nguruwe, mbuzi n.k.! Ila kwa "utakatifu" aliovishwa huyo muheshimiwa, na kwa kila aina ya dhahama aliyoisababishia dunia hii kwa aliyoyahubiri kipindi hicho, na kwa UKARIBU WAKE NA MUNGU WAKE kama tunavyoaminisha, na kwa UUNGU aliovikwa, Naweza kusema hakustahili kufanya hicho alichofanya, na tuna haki zootee za kumjudge
M naomba niishie hapa mna ww imani ni tofauti hlf untka kujudge imani nyengine ambayo huna hata elimu nayo bcz ulishalishwa ujinga kwaio m swz kukutoa kwenye ujinga kma ww mwenyew hutaki.kutoka huko.
 
M naomba niishie hapa mna ww imani ni tofauti hlf untka kujudge imani nyengine ambayo huna hata elimu nayo bcz ulishalishwa ujinga kwaio m swz kukutoa kwenye ujinga kma ww mwenyew hutaki.kutoka huko.
Nielimishe Chief kuhusu hilo jambo, maana huwa linanikwaza sana
 
Kifupi wewe akili huna kipindi Cha kiangazi huwa kipindi Cha kuvuna mazao yaliyokomaa kwa hiyo unataka waombe mvua inyeshee mazao yaliyokomaa ya kuvunwa yaharibike? Akili huna hata ya kawaida tu
Sasa unaomba mvua kipindi cha msimu wa mvua halafu ikinyesha ndio uonekane shujaa..kama unataka uonekane shujaa fanya visivyo wezekana..tofauti na hapo ni ukanjanja tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Naona nao ni vibaraka wa kuhalalisha mgao wa umeme na mgao wa maji Ili watu wapige helawacha waendelee tu na maombi
 
Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi

Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
Mvua ilishaondoka na Magufuli tulieni mwone miujiza ya Mungu.
 
ahsante sana Mufti mkuu kwa kukumbusha wananchi tumuombe Mungu tupate mvua.
mvua ndio uhai. Nchi yetu karibu 80% ni wakulima na wote tunategemea mvua sio Katiba
Tunamuomba Mungu atuteremshie mvua.
amen
 
Musa hakuwaambia wana wa Israel waombe bali ni Yeye aliyeongea na Mungu kwa niaba yao!

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
 
Kongele kwa Mufti kwa kujenga msingi wa uwajibikaji sahihi wa viongozi wa dini- Tufunge tumuombe Mungu atupe mvua.
Huo ndiyo uzumbukuku wa kiwango cha lami.

Miaka 60 ya uhuru bado mnaishi maisha ya kubahatisha !

Mvua isipo nyesha watanzania wataangamia kwa kukosa chakula .
 
Back
Top Bottom