Mufti mkuu Ampongeza Magufuli uteuzi wa baraza la Mawaziri na kasi ya serikali

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,303
23,055
Mufti mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally amepongeza kasi ya maguguli pamoja na uteuzi wa baraza la mawaziri na makatibu wake.

Source ITV habari.

Nyie mnaosema Magufuli kapendelea wakristo sasa kiongozi wenu kaunga mkono.
 
Bakwata ni tawi la maCCM,Miaka yote tangu ianzishwe,Bakwata yenyewe wameshindwa kuanzisha hata chuo kikuu au Hospital ya rufaa toka imezaliwa,ndo maana Ponda anajalibu kuinasua itoke mikononi mwa MaCCM anaishia kutupwa jela.
 
Hivi ile inshu ya kodi bakwata Walimalizana na TRA, au anafikiri kumsifia mh. JPM kutamsaidia
 
Magufuli alisema atachagua Baraza la mawaziri dogo la wachapakazi
Sasa oo sijui mbona lomejaa wa dini furani
Mara oooh mbona wanawake wachache
Mara oooh mbona watanganyika wengi
Huko ni kukosa hoja maana ukireje hapo juu "BARAZA DOGO LA WACHAPA KAZI"
Kama unaona kundi unalolilalamikia wamepunjwa maana yake sio wachapakazi
 
Back
Top Bottom