Mufti mfikishie salamu zetu Mh rais atapofika kama mgeni rasmi katika hilo baraza la Eid...!

Status
Not open for further replies.
.....Ilianza hivi, kuna Mzee wa humu anaitwa Mohammed Said ni msomi mzuri tu achana hawa waliokimbia shule kwa kisingizio watalishwa nguruwe...

Yeye huku akiwa ameshinda na njaa lakini mwenyewe anadhani ndio swaumu hiyo bila aibu mchana kweupe akatuweka picha ya mechi ya Yanga ati ndio umati wa waislamu kwenye mashindano ya kusoma ile lugha, kana kwamba hata uwanja ungekuwa unaingiza watu millioni kwani hiyo ndio sensa ya idadi ya watu wadeen?

Kwahiyo msiwashangae hawa wafuasi wa Mzee Mohammed Saidi mshangaeni yeye mwenyewe kwa uongo kama huu, na hapo yupo standby punde atawasili hapa.

Mods Tafadhari msiufunge huu uzi ili tuwafundishe watu kutumia akili na siyo kutumia kichwa kufugia nywele.

View attachment 363349
Mohamed Said amefata nn hapo ktk mada hii embu mjaribu kuacha chuki na fitina zenu za kitoto kwa sheikh Mohamed Said mbona upande wa kushoto mna matatizo mnayotafuta mnayaweza au mnatafuta sababu za kujaza watu magerezani kwa hoja zenu na sheria za kigaidi mlizopitisha
 
Kweku kabisa. Mimi ni mkristo halisi, lakini nilipoangalis mf uteuzi wa makatibu tawala nilishtuka sana. Kweli hawa ndugu zetu wamesahaulika kidogo!
Lakini sio wote kateua yeye, wengine walikuwa wa Kikwete, kafanya kujazilia waliostaafu nk nk, sasa tungejua wangapi kateua yy ndio tumhukumu
 
Hao wapaga
Hizo takwimu za sensa umezitoa wapi ????.Ngoja nikuwekee kiduchu sensa ya mwaka 1967.

1. Wakristo 3,710,626

2. Waislam 3,692,599

3. Wapagani 4,194,333

4. Dini nyingine 153,139

5. Ambao hawakuse 362,161

Hizi takwimu ni pamoja na Zanzibar mheshimiwa,kwa taarifa yako idadi ya watu Zanzibar wakati huo ilikuwa 349,943 wakristo walikuwa 9,877 na waislam walikuwa 330,618.Muungano wa Tanganyika na Zanzibar haukuwa na impact kama mnvyojadili huko misikitini.Idadi ya waislam wa Mtwara ilikuwa 800,425 kubwa kuliko waislam wa Zanzibar !.Utashangaa zaidi idadi ya waislam wa Tanga (493,875) bado ilikuwa kubwa kuliko idadi ya waislam wa Zanzibar.

Ni kwanini nakwambia idadi ya wakristo ni 74% sasa na waislam ni 26% tu.Baada ya mwaka 1967 makanisa yalianza kazi ya kushambulia idadi ya watanzania wapagani ambao wengi walipatikana mikoa ya Shinyanga 706,808 Mwanza 703,392 Mbeya 482,729 Arusha 351,577 Dodoma 303,561 Iringa 262,584 Kigoma 267,979 Mara 224,850 Tabora 238,837 & Singida 206,693.Nimekupa hiyo mikoa kumi ya wakati huo leo kaitazame kwa jicho la tatu utagundua pengine ni mkoa mmoja au miwili ambayo si ya kigalatia (Tabora) mikoa mingine yote utakuta ni kati ya 70% to 80% christian majority. Mainly Catholic,Lutheran,Angilcan ..... Wakati huo wote waislam wengi walikuwa hawaikubali BAKWATA kwa kisingizio eti imeundwa na serekali wenzao wakristo walikuwa wakieneza Injili takatifu.
i hao wapagani siku hizi WANa Dini sasa Sijui wameenda upande gani
 
Nianze kwa Salaam na kuwatakia heri ya Eid kwa ndug zangu waislam na wale wasio waislam tunashukuru kwa upendo mliotuonesha kipind chote hiki cha mfungo wa ramadhan ikiwemo na kujali kwenu na kutokutujengea mazingira magumu ya ugumu katika kutekeleza ibada hii...sisi sote ni viumbe wa mungu na ipo siku sote kwake tutarejea...na sisi sote pia ni watanzania wazaliwa wa ardhi hii iliyo tulivu kabisa...

Lengo langu ni kuwafikia ndug zangu kupitia hapa JF na kutumia kama forum ya kupenyeza ujumbe wangu ukufikie Mufti ya kwamba kwa kuwa Mh Rais Magufuli atakuwa ni mgeni rasmi katika baraza hilo basi tafadhali mfikishie ujumbe huuu...

Mufti...Tafadhali mwambie Mh Rais kuwa kipindi anasimama kuomba kura alisimama kuomba kura kwa umma wa watanzania wote pasi na kuangalia iman zao...kanda wanazotokea...makabila yao...rangi zao...jinsia zao na kadhalika...kwa ufupi hakuomba kura kwa kubagua kitu cha aina yoyote ile...

Tanzania kama nchi ni nchi yenye mchanganyiko wa makabila mbali mbali...na tunashukuru mungu suala la ukabila au kubaguana kwa ukabila ndan ya nchi hii mungu ametulinda na hata waasisi wa taifa hili walifanikiwa kulidhibiti suala hili...tunashukuru kwa kias kikubwa suala la kubaguana au kutazamana kwa ukabila ndan ya nchi hii kwa kias kikubwa halipo..

Vivo hivyo hata suala la udini ndan ya nchi hii kuna dini mbali mbali ingawa dini kuu mbili ndan ya nchi hii na zenye wafuas wengi ni ukristo na uislam...mungu mkubwa pamoja na changamoto nyingi zinazookumba dini ya kiislam dunian lakin atleast Tanzania nchi yetu kuna maingiliano na kuishi kwa kuvumiliana baina ya watu wa iman hizi zilizopo ndan ya nchi hii...na pale zinapotokea changamoto haraka sana busara hutumika na kutufanya kukosoana kwa wema na utu na kurudi katika hali yetu ya kuish kwa kuvumiliana...

Pamoja na yote hayo bado hapakosekani nyufa na manung'uniko kutoka pande mbali mbali...

Mufti naomba umueleze kinagaubaga tena pasi na kumficha kwamba katika kuongoza serikali hii ambayo ni ukweli ulio waz kwamba amechaguliwa na watu wa iman mbali mbali wakiwemo wakristo,waislam na hata wasio na dini aache ubaguz na upendeleo...

Ajitahid atleast kubalance na kutengeneza serikali iliyo na taswira ya kitaifa kwan nchi hii ni mchanganyiko wa watu wa sampuli mbali mbali kama nilivyoeleza hapo juu...

Sisi waislam tumekwazika na tunazid kukwazika sana na upendeleo wa waz waz kabisa ambao Mh Rais ameuonesha katika teuzi zake kuanzia kwa baraza la mawaziri...makatibu na manaibu katibu wakuuu...wakuu wa mikoa...wakuu wa wilaya na hata kwa makatibu tawala...

Tumeona upendeleo waz waz kabisa katika teuzi za Mh Rais huku idad ya waislam ikiwa si zaid ya 20% ya wawakilishi wote ambao hawa wanaenda kufanya decisions zinazohusu taifa hili...

Jambo hili either linafanyika kwa makusudi kabisa au kwa kutojua basi ifahamike kuwa ni jambo linalopandikiza hisia hasi kabisa na linaloweka doa kubwa katika uongozi wake na mustakabali wa baadae wa taifa letu...

Hakuna justification ya aina yoyote inayoweza kuhalalisha upendeleo huo na ubaguz huo wa waz waz unaofanywa na mh rais...

Umueleze kwamba sisi hatutak kupendelewa wala hatutak wengine wapendelewe..tunachomsihi ni kwamba akumbuke ahad zake wakati wa kampeni na akumbuke pia waislam walimpigia kura yeye pasi na kuangalia iman yake...iweje yeye leo awabague kwa kigezo cha iman yao?..

Umueleze kwamba waislam wanakiona kinachofanyika na kukaa kimya si kwamba wameridhika na utaratibu huo unaondelea...

Umueleze kuwa kwa kuwa kuna namna nyingi ya kumfikishia ujumbe basi atambue kuwa nchi hii kwa sasa haina tena siri wala kificho katika uendeshaji wake..na si kwa yeye tuh hata kwa Rais yeyote atakaekuja hawez kuliweka kando suala la balance of power baina ya watu wa aina mbali mbali ndan ya taifa hili...

Mfano katika makatibu tawala 130 walioteuliwa hizi punde waislam hawazid 18..!je hiyo ni haki?siend huko kwa mawaziri...makatibu na manaibu katibu wakuu...wakuu wa mikoa na wilaya huko ndiko hakufai kabisa...

Kipi ambacho waislam wamemkosea Mh Rais had afikie hatua ya kuwakandamiza na kutowashirikisha kwenye serikali hii?...

Yapo mengi ya kuongea ila kikubwa ni kumfikishia ujumbe huu ya kwamba kinachofanyika kinaonekana na hakivumiliki...

Eid Mubarak..!

Tutateseka sana tunapojifanya hatupendi udini lakini kumbe sisi ndio wa kwanza kuuhubiri udini. Hivi mnataka nchi hii iendeshwe kidini kwamba kigezo cha kwenda kuabudu ama upole, unyenyekevu na utii kiwe kigezo cha kwanza? Hivi mtu aliyefanya vizuri darasani utamwachaje lakini? Mbona tunasumbuka sana kufuatilia teuzi lakini hatujishughulishi kufuatilia uwezo wetu darasani? Fuatilia Chuo kikuu cha UDSM, uangalie ratio ya wakristo na waislamu utaelewa maana ya teuzi sa Rais wa sasa, achana na yule aliyetangulia ambaye mawazi yake yalikuwa ni kufanya teuzi/promotion kwa kubalance dini huku akipendelea wanaofanya kazi zisizo za kisomi na kuwaacha professional wakiishi maisha ya chini kinyume na wafanyabiashara.
Hatuwezi kuendesha nchi hii kwa misingi ya kidini.
Ndiyo kiini cha posts zangu nyingi juu ya umuhimu wa kujitambua kwanza asili yetu ili tufahamu juu ya uwezo wa asili wa jamii fulani darasani.
No bora hata mkubali kulrgeza baadhi ya masharti ili muwe mnaoana na jamii za kikristo ili kuo geza uwezo wa darasani wa uzao wa kiislamu badala ya kutegemea zaidi vichwa vilivyoko hasa mikoa ya Tanga na Morogoro.
 
"kikwete ni mdini sana. hata ukipitia wizara zote angalia idadi ya waislam kuanzia makatibu wakuu mpaka wakurugenzi wasaidizi. tuwe wakweli jamani. huyu jamaa ni mdini wa chinichini anakwenda kwa vitendo tu. lakini tabia yake hiyo itamtokea puani tarehe 31 oktoba 2010." Hii post iliwekwa hapa JF na Gosbertgoodluck tarehe 28/10/2010ilikua post namba 3 kwenye uzi huu Kikwete ni mdini?
 
Tutateseka sana tunapojifanya hatupendi udini lakini kumbe sisi ndio wa kwanza kuuhubiri udini. Hivi mnataka nchi hii iendeshwe kidini kwamba kigezo cha kwenda kuabudu ama upole, unyenyekevu na utii kiwe kigezo cha kwanza? Hivi mtu aliyefanya vizuri darasani utamwachaje lakini? Mbona tunasumbuka sana kufuatilia teuzi lakini hatujishughulishi kufuatilia uwezo wetu darasani? Fuatilia Chuo kikuu cha UDSM, uangalie ratio ya wakristo na waislamu utaelewa maana ya teuzi sa Rais wa sasa, achana na yule aliyetangulia ambaye mawazi yake yalikuwa ni kufanya teuzi/promotion kwa kubalance dini huku akipendelea wanaofanya kazi zisizo za kisomi na kuwaacha professional wakiishi maisha ya chini kinyume na wafanyabiashara.
Hatuwezi kuendesha nchi hii kwa misingi ya kidini.
Ndiyo kiini cha posts zangu nyingi juu ya umuhimu wa kujitambua kwanza asili yetu ili tufahamu juu ya uwezo wa asili wa jamii fulani darasani.
No bora hata mkubali kulrgeza baadhi ya masharti ili muwe mnaoana na jamii za kikristo ili kuo geza uwezo wa darasani wa uzao wa kiislamu badala ya kutegemea zaidi vichwa vilivyoko hasa mikoa ya Tanga na Morogoro.
Kikwete Siyo mdini, hakuna ushahidi wowte wa kuonyesha kuwa ni mdini.
Miraji Kikwete ni mwanae kwa hiyo by default atakuwa ni mwislamu
Salma Kikwete ni mkewe kwa hiyo chance ya mtu kuoa dini ya kwake ni kubwa zaidi.
Gharib bilal ni Mzanzibar ambayo zaidi ya asilimia 95 ni waislamu.


Baraza la mawaziri la Kikwete Asilimia 56 (Mawaziri pamoja na manaibu waziri na yeye akiwemo) ni Wakiristo, Waislamu ni asilimia 44 tu,

Wenye kuleta hoja ya udini wa Kikwete ndiyo wadini, watu wenye chuki binafsi, wasio na ulewa mpana, washabiki. ni watu walioishiwa hoja.

Msidhani mtamsaidi dr slaa kuingia Ikulu kwa kutumia njia za kuwagawa watu kwa misingi ya kidini, hata akiingia ikulu kwa njia hizi atashindwa kuongoza wala kutawala.
HUU SI MCHANGO WANGU NI WA Gamba la Nyoka
 
WE NI MMOJA WAJINGA SANA, namuomba Allah sw aiokoe nafsi yako na Moto kwa kukuingiza kwenye DINI YA HAKI
Astakufirulah!!!!!!! Mimi napenda watu siwezi kuingia hiyo dini watu wenyewe ndiyo hao unafiki mwingi kupita maelezo,huku niliko ninshafika.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom