Mufti jiandae kuoteshwa jagi la dawa ya kutibu magonjwa sugu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mufti jiandae kuoteshwa jagi la dawa ya kutibu magonjwa sugu

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Jasho la Damu, Mar 29, 2011.

 1. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Haya WATZ kumekucha sasa.
  Tulianzia loliondo kusikia, kuona, kuamini na hatimaye kunywa kikombe kinachotibu magonjwa sugu. leo hii tunaanza kusikia huku wakituambia tuamini na kufika kunywa dawa ile ile kwa bei ile ile huku ikitibu magonjwa yale yale huko TARAKEA,MBEYA na TABORA.
  Wasiwasi wangu ni jinsi gani watanzania tunavyoburuzwa na iman haba ambazo zinapandikizwa na baadhi ya wezi wachache ktk serikali yetu ili tusahau kujadili mabaya yao waliyofanya na tukimbilie kwenye dawa.
  Ili kutuvuruga kabisa
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Mar 29, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hivi vikombe sasa ni balaa, kila mtu ataoteshwa sasa. Lakini kwa idadi ya watu wanaopata vikombe inaonyesha tuna wagonjwa wengi.
   
 3. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
   
 4. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  DUUH HII BALAA SASA, KILA MTU AMEOTESHWA?:lol:
   
 5. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,228
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  Mbona mada na taito havifanani?!
   
 6. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
   
 7. K

  Kivia JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 278
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Imani ya kikiristo imevamiwa na makanjanja, ndo mana kila siku waumini wanahama huku na huku wakitafuta makanisa ya miujiza wakidhani miujiza ndio dini huku wakisau kuwa hata wachawi wanamiujiza. Wakuu wa makanisa wengi matapeli wakiibia wafuasi wao, matunda yake ndio haya-DECI, BABU LOLIONDO,Bibi tabora, dogo tarakea, mbeya, mzee wa upako, kakobe, mwingira nk. Wote hawa njaa na wezi tu na wanawaibia wajinga.
   
 8. sixgates

  sixgates JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 3,974
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  sielewi,title nyingie,maada nyingine,it real sucx!
   
 9. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mufti? Wanaooteshwa si ni wa dhehebu fulani tuu?
   
 10. S

  Smarty JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 729
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  mkuu hii taito yako na maad mbona hafifanani? au we uko interested na kuona wangapi wameview thred yako??? mufti hawezi kuoteshwa kwa Mungu hasemi uongo kuwa hataleta mitume wengine zaidi ya 25 waliopia enzi zile.
   
Loading...