Mufindi: Mmiliki QWIHAYA General Enterprises atakiwa kuhamisha kiwanda ili kupisha gereji na nyama choma

Hii nchi ni balaa, Kahama wamesifiwa kwa kugawa viwanja bure kwa wawekezaji huko wanafukuzwa, nchi ina maajabu sana hii
Mkuu tatizo huko kijijini wanafanya wanavyotaka wenyewe alafu wanaona kama mkuu kufikiwa na taarifa itakuwa ngumu sanaaa....ni vitu vya ajabu sanaaa ubomoe kiwa ja uweke sehemu ya nyama choma alafu inachekesha ukifikiria unajuwa😀😀
 
Ujinga Mtupu Halafu pale sio Kijijini Kiwanda Kilipo ni watu Upumbavu tu.
 
Si unaona sasa mkuu ni aibu sanaa na sijui hao madiwani wanafikiria nini hasaaa....hapo ni deal linataka kufanyika atleast wangekuja na excuse nyingine kabisaaa na sio ya kuweka nyama choma....
 
Mkuu tatizo huko kijijini wanafanya wanavyotaka wenyewe alafu wanaona kama mkuu kufikiwa na taarifa itakuwa ngumu sanaaa....ni vitu vya ajabu sanaaa ubomoe kiwa ja uweke sehemu ya nyama choma alafu inachekesha ukifikiria unajuwa😀😀
Anyway tuendelee kujifukiza
 
Mufindi ni moja kati ya wilaya tajiri zaidi hapa nchini ipo ndani ya top five

Hii inafanya hoja yako ya kutuambia kua hicho kiwanda kilichoanzishwa miaka mitatu iliyopita eti kinachangia 30% ya mapato ya wilaya hiyo kua ni chai kama chai zingine za hapo hapo mufindi.
Mafinga kuna viwanda vya mbao (saw mills) nyingi sana ambazo zinaingiza pato kubwa sana hujazungumzia Tanwatr shamba la Sao hill.. kuna kiwanda cha karatasi mgololo
Ndo utuambie hicho kiwanda kinchogombania eneo na wachoma nyama linatoa 30% ya pato la Mafinga?
 
Yaani kiwanda kinachangia 30% ya mapato ya H/W halafu kinaambiwa kipishe garage?? na nyamachoma??

Tanzania ya viwanda
Mwongo huyo Mufindi/mafinga kuna msitu wa sao hill ambao unatoa asilimia kubwa ya mnao za pine na nguzo za umeme,kuna biwanda na mashanba ya uniliver ambao wana maelfu ya ekari.kuna Tanwatt wanazalisha nguzo za umeme, Kuna viwanda vya mbao kibao ambavyo mapato yake yako juu...ndo useme kiwanda chenye 30% ya mapato ya halmashauri wagombanie eneo na wachoma nyama na gereji?.
Aseme tuu kuna mgogoro lakini sio kiwanda kinachotoa 30% ya mapato ya halmashauri
 
Sakata lake Liko hivi

QWIHAYA ni kiwanda Cha nguzo za Umeme ambacho tangu Rais, John Pombe Magufuli aagize kuanza kutumika kwa nguzo zinazozalishwa ndani ya nchi, kimefanikiwa kuongeza ajira 350 kutoka chini ya 50 kabla ya mwaka 2015, wengi kutoka ndani ya mji wa Mafinga, na Wilaya ya Mufindi kwa ujumla.

QWIHAYA General Enterprise's ni kiwanda kinachochangia asilimia 30 ya mapato katika halmashauri Mji wa Mafinga.

Pia, kiwanda kinachangia kukua kwa uchumi wa wakulima wa mazao ya misitu ambao huuza miti ya nguzo za Umeme.

Mpaka sasa QWIHAYA anamiliki viwanda Njombe, Kigoma na Kibaha ambako muda sio mrefu kitafunguliwa kuunga mkono sera ya TANZANIA YA VIWANDA.

BARAZA LA MADIWANI LA MJI WA MAFINGA LIMEMPA SIKU 14, AONDOKE KUPISHA ENEO LA GARAGE NA NYAMA CHOMA

QWIHAYA -- kampuni hii imekuwepo takriban miaka 3 ikifanya Kazi katika eneo hilo na ikiwa inasambaza nguzo hizo za umeme kwa mikoa yote kwa kipindi chote hicho.

Wakati haya yakifanyika uongozi wa Halmashauri ikiwemo baraza hilo la madiwani la kipindi hicho lilikuwepo na lilikuwa likiona haya.

Kwani baada ya kuwepo kwa baraza JIPYA kumekuwepo na sitofaham ambayo inakuwa kam muwekezaji amevamia eneo, Hana Mamlaka wala hatakiwi zaidi ya kuondoka.

Nyuma ya hii Kuna nini na kwanini imekuwa kauli ya kutoa masaa 24 imekuja ya siku 14 wakati huo wakitaka aondoke lkn Kuna kuwa na kauli ya tukae meza ya mazungumzo

Kwanini mwenyekiti wa Halmashauri alishindwa ama imeshindikana kukaa na wataalamu wake katika Halmashauri na kuyajenga kuliko kutoa matamko na masaa na siku ya kumwondoa muwekezaji?.

Je, tumeshapima athari itakayojitokeza pindi muwekezaji atakapo kuwa anahangaika na shughuli za kuhama kwake

Je, tunatambua pindi atakapo anza Kazi za kuondoka itafanya uzalishaji usimame kwanza

Kwanini isifanyike utaratibu wa kuondoa hao ambao BADO hawajafanya uwekezaji mkubwa na kma Kuna gharama basi muwekezaji akachangia na kumbadilishia matumizi yeye akaendelea na uzalishaji.

Nijambo linafanywa na Halmashauri lkn ni la kitaifa zaidi kutokana na shughuli za kampuni yenyewe.

Wenye Mamlaka wataamua sie watoa maoni na watazamaji lkn ndio walaji wa mwisho tukumbuke na hili.

Kwa Mwendo huu Tanzania ya Wiwanda Tutafanikiwa?

Rais Magufuli anasema Hili, wa chini yake Hili au ndio Tuendelee Kujifukiza!
Hapo ndio unapata sababu ya kuwa na mahakama huru za kibiashara, kwani madiwani hawajui sheria,
 
Kuna watu wengine wajinga sanaa yaani ubomoe kiwanja kinachoisaidia serikali kwenye miundo mbinu then uweke Garage na nyama choma sijawahi kuona kwenye maisha yangu....
Ndio Upumbavu na Ujinga wa Baadhi ya Viongozi Mufindi..Mfatilie DC ameongea vitu vya Msingi Sana na Ameonyesha kukerwa na Hili.
 
Ohhh kumbe DC ameongea ni kweli kabisaa ni mambo ya ajabu sana wanafanya sijawahi kuona na hapo ukiona basi ujue kuna mashindano fulani ndio maana imekuwa hivyo ni hovyo kabisaaa....
 
Sakata lake Liko hivi

QWIHAYA ni kiwanda Cha nguzo za Umeme ambacho tangu Rais, John Pombe Magufuli aagize kuanza kutumika kwa nguzo zinazozalishwa ndani ya nchi, kimefanikiwa kuongeza ajira 350 kutoka chini ya 50 kabla ya mwaka 2015, wengi kutoka ndani ya mji wa Mafinga, na Wilaya ya Mufindi kwa ujumla.

QWIHAYA General Enterprise's ni kiwanda kinachochangia asilimia 30 ya mapato katika halmashauri Mji wa Mafinga.

Pia, kiwanda kinachangia kukua kwa uchumi wa wakulima wa mazao ya misitu ambao huuza miti ya nguzo za Umeme.

Mpaka sasa QWIHAYA anamiliki viwanda Njombe, Kigoma na Kibaha ambako muda sio mrefu kitafunguliwa kuunga mkono sera ya TANZANIA YA VIWANDA.

BARAZA LA MADIWANI LA MJI WA MAFINGA LIMEMPA SIKU 14, AONDOKE KUPISHA ENEO LA GARAGE NA NYAMA CHOMA

QWIHAYA -- kampuni hii imekuwepo takriban miaka 3 ikifanya Kazi katika eneo hilo na ikiwa inasambaza nguzo hizo za umeme kwa mikoa yote kwa kipindi chote hicho.

Wakati haya yakifanyika uongozi wa Halmashauri ikiwemo baraza hilo la madiwani la kipindi hicho lilikuwepo na lilikuwa likiona haya.

Kwani baada ya kuwepo kwa baraza JIPYA kumekuwepo na sitofaham ambayo inakuwa kam muwekezaji amevamia eneo, Hana Mamlaka wala hatakiwi zaidi ya kuondoka.

Nyuma ya hii Kuna nini na kwanini imekuwa kauli ya kutoa masaa 24 imekuja ya siku 14 wakati huo wakitaka aondoke lkn Kuna kuwa na kauli ya tukae meza ya mazungumzo

Kwanini mwenyekiti wa Halmashauri alishindwa ama imeshindikana kukaa na wataalamu wake katika Halmashauri na kuyajenga kuliko kutoa matamko na masaa na siku ya kumwondoa muwekezaji?.

Je, tumeshapima athari itakayojitokeza pindi muwekezaji atakapo kuwa anahangaika na shughuli za kuhama kwake

Je, tunatambua pindi atakapo anza Kazi za kuondoka itafanya uzalishaji usimame kwanza

Kwanini isifanyike utaratibu wa kuondoa hao ambao BADO hawajafanya uwekezaji mkubwa na kma Kuna gharama basi muwekezaji akachangia na kumbadilishia matumizi yeye akaendelea na uzalishaji.

Nijambo linafanywa na Halmashauri lkn ni la kitaifa zaidi kutokana na shughuli za kampuni yenyewe.

Wenye Mamlaka wataamua sie watoa maoni na watazamaji lkn ndio walaji wa mwisho tukumbuke na hili.

Kwa Mwendo huu Tanzania ya Wiwanda Tutafanikiwa?

Rais Magufuli anasema Hili, wa chini yake Hili au ndio Tuendelee Kujifukiza!

Ccm oyee
 
Wewe ndio mmiliki wa kiwanda au umehongwa bando la tigo uje uharishe hapa!

Mitano tena Kwa Baraza la madiwani!

Kama ana nyaraka halali za kumiliki eneo hilo akaweke stop order....ili apewe maelezo ya nayoeleweka ya kwa nini apishe gereji na nyamachoma!
Hana nyaraka yoyote huyu ni mvamizi tuu anataka kujifichia kwenye koti la serikali ya viwanda nyoko zake!
 
Sakata lake Liko hivi

QWIHAYA ni kiwanda Cha nguzo za Umeme ambacho tangu Rais, John Pombe Magufuli aagize kuanza kutumika kwa nguzo zinazozalishwa ndani ya nchi, kimefanikiwa kuongeza ajira 350 kutoka chini ya 50 kabla ya mwaka 2015, wengi kutoka ndani ya mji wa Mafinga, na Wilaya ya Mufindi kwa ujumla.

QWIHAYA General Enterprise's ni kiwanda kinachochangia asilimia 30 ya mapato katika halmashauri Mji wa Mafinga.

Pia, kiwanda kinachangia kukua kwa uchumi wa wakulima wa mazao ya misitu ambao huuza miti ya nguzo za Umeme.

Mpaka sasa QWIHAYA anamiliki viwanda Njombe, Kigoma na Kibaha ambako muda sio mrefu kitafunguliwa kuunga mkono sera ya TANZANIA YA VIWANDA.

BARAZA LA MADIWANI LA MJI WA MAFINGA LIMEMPA SIKU 14, AONDOKE KUPISHA ENEO LA GARAGE NA NYAMA CHOMA

QWIHAYA -- kampuni hii imekuwepo takriban miaka 3 ikifanya Kazi katika eneo hilo na ikiwa inasambaza nguzo hizo za umeme kwa mikoa yote kwa kipindi chote hicho.

Wakati haya yakifanyika uongozi wa Halmashauri ikiwemo baraza hilo la madiwani la kipindi hicho lilikuwepo na lilikuwa likiona haya.

Kwani baada ya kuwepo kwa baraza JIPYA kumekuwepo na sitofaham ambayo inakuwa kam muwekezaji amevamia eneo, Hana Mamlaka wala hatakiwi zaidi ya kuondoka.

Nyuma ya hii Kuna nini na kwanini imekuwa kauli ya kutoa masaa 24 imekuja ya siku 14 wakati huo wakitaka aondoke lkn Kuna kuwa na kauli ya tukae meza ya mazungumzo

Kwanini mwenyekiti wa Halmashauri alishindwa ama imeshindikana kukaa na wataalamu wake katika Halmashauri na kuyajenga kuliko kutoa matamko na masaa na siku ya kumwondoa muwekezaji?.

Je, tumeshapima athari itakayojitokeza pindi muwekezaji atakapo kuwa anahangaika na shughuli za kuhama kwake

Je, tunatambua pindi atakapo anza Kazi za kuondoka itafanya uzalishaji usimame kwanza

Kwanini isifanyike utaratibu wa kuondoa hao ambao BADO hawajafanya uwekezaji mkubwa na kma Kuna gharama basi muwekezaji akachangia na kumbadilishia matumizi yeye akaendelea na uzalishaji.

Nijambo linafanywa na Halmashauri lkn ni la kitaifa zaidi kutokana na shughuli za kampuni yenyewe.

Wenye Mamlaka wataamua sie watoa maoni na watazamaji lkn ndio walaji wa mwisho tukumbuke na hili.

Kwa Mwendo huu Tanzania ya Wiwanda Tutafanikiwa?

Rais Magufuli anasema Hili, wa chini yake Hili au ndio Tuendelee Kujifukiza!
APAMBANE NA HALIYAKEE
 
Ohhh kumbe DC ameongea ni kweli kabisaa ni mambo ya ajabu sana wanafanya sijawahi kuona na hapo ukiona basi ujue kuna mashindano fulani ndio maana imekuwa hivyo ni hovyo kabisaaa....
Ni kweli Viongozi Wanashindana Aisee
 
Back
Top Bottom