Uchaguzi 2020 Mufindi: Mgombea Udiwani CHADEMA ajitoa, alaumu chama kukosa Sera na Ilani

Duniani kuna watu wasengerema kweli kama huyu jamaa, yaani wanachama walimwamini hadi akawabana wanachana waliokuwa na nia njema kabisa ya kuwatumikia wana nchi kupitia chadema afu leo anajitokeza mbele ya watanzania nakusema ujinga huo , huyo jamaa angekuwa kanda ya mara wangemtia adabu shenzi type, pia amenikumbusha yule katibu wa ccm HORASI KOLIMBA aliwahi kuiabia ccm kuwa haina dira wala mwelekeo katibu yule alifariki ghafla ,shetwain mkubwa
 
Hahahaha Wagombea wengine wanachekesha sana! OK kwahio tufanyeje??
Usikute maisha yake yametiwa msukosuko sana na barua akaandikiwa ili ajitoe kwenye uchaguzi.

Chama wafuatilie sana hali ya usalama wa wagombea wake hasa wa udiwani vinginevyo wengi watajitoa kwa kufanyiwa Visa vya kipuuzi.

Hili jeshi la akiba ndiyo kazi yake hii.
 
Usikute maisha yake yametiwa msukosuko sana na barua akaandikiwa ili ajitoe kwenye uchaguzi.

Chama wafuatilie sana hali ya usalama wa wagombea wake hasa wa udiwani vinginevyo wengi watajitoa kwa kufanyiwa Visa vya kipuuzi.

Hili jeshi la akiba ndiyo kazi yake hii.

Yuda kaona bora atumie nafasi hii kucheza LOTTO, hata sura yake inaonyesha kuwa hachezi mbali na vipande 30 vya njuluku!
 
Hizo swagga za kula hela za ccm na kuanza lugha za kitapeli mbona zishachuja?
Yawezekana hata hela hajala ila maisha yake yako hatarini.

Chama kabla hakijaanza kulaumu kinatakiwa kufuatilia nini kinaendelea huko chini kwa wagombea wake hasa madiwani.

CCM wamezoea kufanya huu uhuni hata kwa madiwani waliojiuzulu kipindi cha nyuma walikuwa wanafanyiwa ushenzi mkubwa sana.
 
Hapa kunanrushwa. Maneno aliyoyatamka ni Sawa na maneno ya kampeini za CCM.
Hiyo Barua huenda kaandikiwa yeye akasaini kwa mtutu wa bunduki

Hili jaribuni kulichunguza sana mimi nina wasi wasi sana na jeshi la akiba lile la Shinyanga.
 
U

Ushaidi unao?
Kama unao unashindwa nini kwenda polisi au takukuru??
Acha uzwazwaaa

Polisi au takukuru zimewashindwa rushwa za ccm juzi, ndio nikashitaki za mpinzani? Ww ndio una imani na hizo taasisi, siku ukiwa na cha kushitaki kapoteze muda wako kushitaki.
 
Polisi au takukuru zimewashindwa rushwa za ccm juzi, ndio nikashitaki za mpinzani? Ww ndio una imani na hizo taasisi, siku ukiwa na cha kushitaki kapoteze muda wako kushitaki.
Mbona jamaa yenu alipovuliwa ubunge alikimbilia huko?
Au ilikua ni kiki kama kawaida yake?
 
Mnamshushia kipondo cha haja. Analeta umalaya wa kisiasa wakati watu tupo serious. Watu kama hawa ni kutoa kipondo cha mbwa koko ili kuweka record straight.
Upande uliopo haufai kuchukua dola. Ni udikteta , na kuminya demokrasia. Kama Sera ziliandikwa na mtu siku mmoja kabla ya Kampeni Zakhem unadhani huko chini walikuwa nayo wanaijua?

Ndio maana watu wa aina yako hupiga risasi walio kinyume nao
 
Watu kama hawa sio afya katika kipindi kama hichi, inawezekana wameziba nafasi ya mgombea mwingine mzuri wa chama, lakini inabidi tukubali na hiyo ndio demekrasia.
 
Back
Top Bottom