Uchaguzi 2020 Mufindi: Mgombea Udiwani CHADEMA ajitoa, alaumu chama kukosa Sera na Ilani

Ndugu zangu,

Habari ndio hii..

View attachment 1557696
Inawezekana tume iliwaengua wengi kutoka upinzani kwa vitu vidogo vidogo kama hivi, "kinyang'anyilo". Lakini kwa kuwa barua hii ni yakujitoa haina mjadala imepita tu.

Ila CDM nanyi kuna vitu vingine sijui mnafikiria vipi? Yaani kwa uchaguzi huu mlimpa YUDA nafasi kubwa hivi?
Kuna majina mengine muwe mnayashtukia mapema.

Yaani 2015 mlituimbisha kwamba pombe mwisho baa, lakini kuna watu walipingana na mwl Nyerere kwamba ikulu ni mahali patakatifu, na nyie mnakuja kufanya hayo hayo yakumuamini YUDA?
 
Back
Top Bottom