Muendelezo wa Kinachojiri Kisutu: Kesi za Jamhuri dhidi ya JamiiForums

jamani wana forum mnisaiudie nilitaka nijue ni kwa nn huyu mwanzilishi wa jamii forum yupo kotini, je ni kweli ana makosa au amebambikiwa kesi, na serikali inaitazama jamii forum kwa jicho gani, je inasupport movement za uhuru wa kuongea? ni hayo tu wapendwa
 
jamani wana forum mnisaiudie nilitaka nijue ni kwa nn huyu mwanzilishi wa jamii forum yupo kotini, je ni kweli ana makosa au amebambikiwa kesi, na serikali inaitazama jamii forum kwa jicho gani, je inasupport movement za uhuru wa kuongea? ni hayo tu wapendwa
Kwani wewe ni binti wa marehum nyaulingo? Kusema kuwa ulikuwa busy na 'maflash' kiasi kwamba "hujui yanayotendeka yudea?
 
Kila Leo kesi zinamtesa, siku aamue kututaja tumeshaa
Wacha atutaje! Kwani tumemtukana mtu?

Bila hata ya kutajwa na mode, wakikusamamba wanakudaka kimya kimya bila kelele kama kuku wa mayai.

Ogopa sana ulimwengu wa teknolojia ya mawasiliano ulivyobadilika kwa sasa.
 
Hawa wakishindwa tu wanatafuta mbinu za kuua, kuteka, kupigia Mabwe pande km maskini Ulimboka sijui yuko wapi!
 
Halafu unakuja kuambiwa kuwa Mlalamikaji ameamua kuachana na kesi hio....

Tutashinda na zaidi ya kushinda, hivi vita vilianza tangu miaka ile ya Jambo Forum na CCM ndio alikua kinara.....kama tulishindo 2006 tuatshinda tena na tena.

Asha D Abinallah natafuta sana t-shirt, ile imeshachakaa sasa. ile ya siku zile Ocean Road
Wakati watu wanachagua makabila kuna Siasa kubwa ya utani ambao unatufanya akili ya mwanadamu iwe inatikili kuwa KABILA moja ni Bora kuliko lingine... SASA turudi kwenye uhalisia wa mambo:

Siasa ya KABILA la wahaya linaponzwa Sana na kukubaliana na yote HAYA bwana hivyo kusifika Kwa Sifa (Mie tajiri Ila wewe Ndiyo unahela)

Ili tufanye KAZI Kwa bidii ni muda wa kuchunguza Sifa za makabila mengine ili namjua iwe na MAANA mathalani:

Wapate Sifa ukiitoa Kwa sumaye ni kuwa na maviwanja mengi yasiyo endelezwa hivyo lable ya NOPLAN ni MTAJI makubwa kwenye kabila hili labda Kwa sababu hatujui PARE panahitaji nini

Wachaga!? Hawana Dharau kweli! Sijui maana Chadema ndiyo mfano wa Aina ya Siasa inayotakiwa nchini tunatakiwa tier na RAIS WA maisha MAANA NYERERE alisema ni CHADEMA pekee insyoweza kuchachafya Hadi saizi mwenyewe ni tule tule na kama ni Chama cha mfano basi tuteuwe rais WA MAISHA Katiba siyo ishu ili CHaga zetu zifanye KAZI.. wake watu wa kisa langu liende Kwa mwingine..

Wahehe:!?

Wagogo!?

Wajinga!?

Wanyakyusa!?

Matatizo waliweka posts Tunatafuta KABILA linalotekeleza elimu Tanzania ili lituondolee hatha ya Kufanya KAZI zisizo na maana kama kutokuwa na Akira ni fursa, kuwa na MAISHA ya kombolela fursa, maisha ya NOPLAN fursa n.k

Tukishindwa figure za kuelewa zinahusu


 
Back
Top Bottom