Muendelezo wa Kinachojiri Kisutu: Kesi za Jamhuri dhidi ya JamiiForums

Corrections. Mi sijatoa post. Nimechangia kama wewe ulivyochangia. Pili, kwa maoni yangu, hawajachangia kwasababu wameaibika. Hata wewe umechangia kujitoa kimasomaso. Lakini, ukweli uko palepale. Mawakili wore ni wanaChadema. Labda wewe ndio hujui. What a coincidence!!!!
We ulitaka wawe wa ccm?
Mawazo mgando.
 
One, they are not all Chadema, only some. Tambua kuwa tuna Wanasheria wengine wanne zaidi katika hiyo list ambao hawatajwi daima patika orodha hiyo kwa sababu ambazo tunaziheshimu.

Secondly, It is not a coincidence, when Maxence was detained; Mawakili waliojitokeza (kwa kujitolea) kuhakikisha wanasimama kuhakikisha anatoka Central hatimae Keko kwa dhamana walikuwa Jebra Kambole, Jeremiah Mtobesya, Albert Msando wakiongozwa na Benedict Ishabakaki. Vigezo vyetu vilivyokuwa nguzo kubwa ya mawakili ilikuwa:-

1. Wale ambao tulikuwa não toka safari inaanza pale sheria ilipotoka tu (angalia - Jamii Media yafungua Kesi ya Kikatiba kupinga Vifungu vya Sheria ya Makosa ya Mtandao)
2. Wale ambao wanaielewa vema sheria mpya ya Cyber Crime Act 2015 na zile zote zinazokinzana na uhuru wa habari na wapo tayari kufanya kazi na sisi.
3. Wale wote ambao tulianza nao na wapo willing kufanya kazi nasi.​

Sweettablet, hivyo ndivyo vigezo vyetu, hicho chako ulichotaja kwetu siyo msingi.

Sijaona tofauti na nilichosema. But, I accept your explanations!
 
Nchi hii ya ajabu Sana ukisema ukweli utaitwa majina yote chadema msaliti unattumiwa na Mabepari
 
Dada Asha,
Kuziunga hizi threads zote ni nzuri, ila tu sasa tunashindwa kwenda na matukio sababu hatujui ni lini linatokea tukio jipya.
Zamani tukiona thread mpya tu basi tunajua leo kulikua na tukio Mahakamani, lakini sasa yatupasa kuutembelea huu uzi kila mara kujua kama kulikua na tukio mahakamani ama lah
 
Mkuu,

Mada huwa zinajitegemea. Kila tukiwa na tukio la Mahakamani mara nyingi tunarusha hapa Jukwaani kama mada mpya. Ila tutajitahidi kuwa tunazipandisha na kuongeze kwenye list ya mada hii. Asante sana.

Back
Top Bottom