Muendelezo wa Kinachojiri Kisutu: Kesi za Jamhuri dhidi ya JamiiForums

Tukiomba, tunaomba Mwenyezi Mungu atusimamie. Moja ambalo tunajua kwa wazi kabisa, ni kwamba si rahisi kiasi hicho kushinda. Hata Mungu hutoa mitihani kuwapima waja wake.

Hivyo kwa support ya Wana JamiiForums, timu ya wanasheria na wadau wote wenye nia njema na JamiiForums; our fingers are crossed na tunamuomba Mungu tumalize salama.

Mwisho wa madhalimu ni Khasara.Watashindwa Tu .Mungu yuko pamoja na wanyonge
 
Shukrani kwa kazi nzuri sana ya kuhakikisha uhuru kwetu sisi Watanzania wa kupashana habari na kujadiliana mambo mbali mbali ya kuhusu mustakabali wa nchi yetu na dunia nzima. Mie nina swali kwako Ashadii. Hivi ukishaingia kwenye management ya JamiiForums huruhusiwi tena kushiriki katika mijadala mbali mbali ya hapa jamvini au kuanzisha threads katika mambo ambayo ungependa watu wajadiliane?

Nauliza hivi kwa sababu miaka ya nyuma Invisible na wengine wengi ndani ya management team ya JF walishiriki sana katika mijadala mbali mbali humu huku wakiendelea kuwemo kwenye management timu ya JamiiForums lakini siku hizi hawaonekani hata wewe ambaye kuna wakati ulikuwa unaongoza humu kwa kuanzisha threads za kufikirisha sana siku hizi umekuwa kimya sana.

Je, kutoshiriki mijadala humu ni sharti moja wapo la kuwemo ndani ya ya uongozi wa JamiiForums? Kama si sharti basi mie nadhani na wengi humu wangepata kukusoma tena kila nafasi inapokuruhusu kufanya hivyo.

Usiku mwema :):)

Mwafwi Munda, usalama ni wakutosha. Usitie shaka kabisa juu ya hilo. Wewe endelea kujiachia kwa kuzingatia sharia za JamiiForums :)
 
BAK habari ya siku rafiki?

Thanks for the acknowledgement to the team.

Suala la kutoshiriki mijadala. Ninatamani kujitetea, tena kwa upana kabisa. Ila I have realized sababu hazina tija kabisa. Something changed, I can not really point out what ila ndiyo hivyo...

Nikiri kuwa kushiriki na kufuatilia mijadala ni moja ya eneo la msingi ambalo si Management tu, bali yeyote ambaye ni JamiiForums team anapaswa kushiriki. Majukumu yangu yapo mbali kidogo na content kwenye platform. Kuto kujipanga vyema kunanifanya nishindwe kushiriki vema. Ila sasa nimeamua kujipanga, nirudi kuwa active, hata kama haitokuwa kama kale.

I am humbled for your faith in me. Nitajitahidi isiwe in vain. Asante sana.

Shukrani kwa kazi nzuri sana ya kuhakikisha uhuru kwetu sisi Watanzania wa kupashana habari na kujadiliana mambo mbali mbali ya kuhusu mustakabali wa nchi yetu na dunia nzima. Mie nina swali kwako Ashadii. Hivi ukishaingia kwenye management ya JamiiForums huruhusiwi tena kushiriki katika mijadala mbali mbali ya hapa jamvini au kuanzisha threads katika mambo ambayo ungependa watu wajadiliane?

Nauliza hivi kwa sababu miaka ya nyuma Invisible na wengine wengi ndani ya management team ya JF walishiriki sana katika mijadala mbali mbali humu huku wakiendelea kuwemo kwenye management timu ya JamiiForums lakini siku hizi hawaonekani hata wewe ambaye kuna wakati ulikuwa unaongoza humu kwa kuanzisha threads za kufikirisha sana siku hizi umekuwa kimya sana.

Je, kutoshiriki mijadala humu ni sharti moja wapo la kuwemo ndani ya ya uongozi wa JamiiForums? Kama si sharti basi mie nadhani na wengi humu wangepata kukusoma tena kila nafasi inapokuruhusu kufanya hivyo.

Usiku mwema :):)
 
Shukrani sana mie niko poa kabisa rafiki namshukuru Mwenyezi Mungu. Nimefurahi kusikia kwamba umeamua kujipanga na kuanza tena kuwa active japo haitakuwa kama zamani lakini itatosha kuliko kuwa kimya kabisa.

BAK habari ya siku rafiki?

Thanks for the acknowledgement to the team.

Suala la kutoshiriki mijadala. Ninatamani kujitetea, tena kwa upana kabisa. Ila I have realized sababu hazina tija kabisa. Something changed, I can not really point out what ila ndiyo hivyo...

Nikiri kuwa kushiriki na kufuatilia mijadala ni moja ya eneo la msingi ambalo si Management tu, bali yeyote ambaye ni JamiiForums team anapaswa kushiriki. Majukumu yangu yapo mbali kidogo na content kwenye platform. Kuto kujipanga vyema kunanifanya nishindwe kushiriki vema. Ila sasa nimeamua kujipanga, nirudi kuwa active, hata kama haitokuwa kama kale.

I am humbled for your faith in me. Nitajitahidi isiwe in vain. Asante sana.
 
Tukiomba, tunaomba Mwenyezi Mungu atusimamie. Moja ambalo tunajua kwa wazi kabisa, ni kwamba si rahisi kiasi hicho kushindda. Hata Mungu hutoa mitihani kuwapima waja wake.

Hivyo kwa support ya Wana JamiiForums, timu ya wanasheria na wadau wote wenye nia njema na JamiiForums; our fingers are crossed na tunamuomba Mungu tumalize salama.

Tuko pamoja nanyi wakati wote .Mwenyezi Mungu yuko pamoja na wanaodhulumiwa. JF ni ya kusaidiwa Kwa kila hali na hao walioishitaki kwani kwao ni bahati kuwepo chombo hichi kinachowakosoa na kuwapa maoni bila malipo. Mungu awaongoze hawajui wanalolifanya
 
Corrections. Mi sijatoa post. Nimechangia kama wewe ulivyochangia. Pili, kwa maoni yangu, hawajachangia kwasababu wameaibika. Hata wewe umechangia kujitoa kimasomaso. Lakini, ukweli uko palepale. Mawakili wote ni wanaChadema. Labda wewe ndio hujui. What a coincidence!!!!
 
Back
Top Bottom