Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 11,613
- 8,543
Kwani JF Mali ya Chadema?Ulitaka watokee wapi???

Mkuu habari , pole na matatizo yaliyokukutaMungu awe naye
We ulitaka wawe wa ccm?Corrections. Mi sijatoa post. Nimechangia kama wewe ulivyochangia. Pili, kwa maoni yangu, hawajachangia kwasababu wameaibika. Hata wewe umechangia kujitoa kimasomaso. Lakini, ukweli uko palepale. Mawakili wore ni wanaChadema. Labda wewe ndio hujui. What a coincidence!!!!
CcmNa mahakimu/majaji wanatokea chama gani?
Corrections. Mi sijatoa post. Nimechangia kama wewe ulivyochangia. Pili, kwa maoni yangu, hawajachangia kwasababu wameaibika. Hata wewe umechangia kujitoa kimasomaso. Lakini, ukweli uko palepale. Mawakili wore ni wanaChadema. Labda wewe ndio hujui. What a coincidence!!!!
Sijaona tofauti na nilichosema. But, I accept your explanations!One, they are not all Chadema, only some. Tambua kuwa tuna Wanasheria wengine wanne zaidi katika hiyo list ambao hawatajwi daima patika orodha hiyo kwa sababu ambazo tunaziheshimu.
Secondly, It is not a coincidence, when Maxence was detained; Mawakili waliojitokeza (kwa kujitolea) kuhakikisha wanasimama kuhakikisha anatoka Central hatimae Keko kwa dhamana walikuwa Jebra Kambole, Jeremiah Mtobesya, Albert Msando wakiongozwa na Benedict Ishabakaki. Vigezo vyetu vilivyokuwa nguzo kubwa ya mawakili ilikuwa:-
1. Wale ambao tulikuwa não toka safari inaanza pale sheria ilipotoka tu (angalia - Jamii Media yafungua Kesi ya Kikatiba kupinga Vifungu vya Sheria ya Makosa ya Mtandao)
2. Wale ambao wanaielewa vema sheria mpya ya Cyber Crime Act 2015 na zile zote zinazokinzana na uhuru wa habari na wapo tayari kufanya kazi na sisi.
3. Wale wote ambao tulianza nao na wapo willing kufanya kazi nasi.
Sweettablet, hivyo ndivyo vigezo vyetu, hicho chako ulichotaja kwetu siyo msingi.
Nchi hii ya ajabu Sana ukisema ukweli utaitwa majina yote chadema msaliti unattumiwa na MabepariOne, they are not all Chadema, only some. Tambua kuwa tuna Wanasheria wengine wanne zaidi katika hiyo list ambao hawatajwi daima patika orodha hiyo kwa sababu ambazo tunaziheshimu.
Secondly, It is not a coincidence, when Maxence was detained; Mawakili waliojitokeza (kwa kujitolea) kuhakikisha wanasimama kuhakikisha anatoka Central hatimae Keko kwa dhamana walikuwa Jebra Kambole, Jeremiah Mtobesya, Albert Msando wakiongozwa na Benedict Ishabakaki. Vigezo vyetu vilivyokuwa nguzo kubwa ya mawakili ilikuwa:-
1. Wale ambao tulikuwa não toka safari inaanza pale sheria ilipotoka tu (angalia - Jamii Media yafungua Kesi ya Kikatiba kupinga Vifungu vya Sheria ya Makosa ya Mtandao)
2. Wale ambao wanaielewa vema sheria mpya ya Cyber Crime Act 2015 na zile zote zinazokinzana na uhuru wa habari na wapo tayari kufanya kazi na sisi.
3. Wale wote ambao tulianza nao na wapo willing kufanya kazi nasi.
Sweettablet, hivyo ndivyo vigezo vyetu, hicho chako ulichotaja kwetu siyo msingi.
Dada Asha,One, they are not all Chadema, only some. Tambua kuwa tuna Wanasheria wengine wanne zaidi katika hiyo list ambao hawatajwi daima patika orodha hiyo kwa sababu ambazo tunaziheshimu.
Secondly, It is not a coincidence, when Maxence was detained; Mawakili waliojitokeza (kwa kujitolea) kuhakikisha wanasimama kuhakikisha anatoka Central hatimae Keko kwa dhamana walikuwa Jebra Kambole, Jeremiah Mtobesya, Albert Msando wakiongozwa na Benedict Ishabakaki. Vigezo vyetu vilivyokuwa nguzo kubwa ya mawakili ilikuwa:-
1. Wale ambao tulikuwa não toka safari inaanza pale sheria ilipotoka tu (angalia - Jamii Media yafungua Kesi ya Kikatiba kupinga Vifungu vya Sheria ya Makosa ya Mtandao)
2. Wale ambao wanaielewa vema sheria mpya ya Cyber Crime Act 2015 na zile zote zinazokinzana na uhuru wa habari na wapo tayari kufanya kazi na sisi.
3. Wale wote ambao tulianza nao na wapo willing kufanya kazi nasi.
Sweettablet, hivyo ndivyo vigezo vyetu, hicho chako ulichotaja kwetu siyo msingi.
Alitamani wa vilazaWe ulitaka wawe wa ccm?
Mawazo mgando.
Dada Asha,
Kuziunga hizi threads zote ni nzuri, ila tu sasa tunashindwa kwenda na matukio sababu hatujui ni lini linatokea tukio jipya.
Zamani tukiona thread mpya tu basi tunajua leo kulikua na tukio Mahakamani, lakini sasa yatupasa kuutembelea huu uzi kila mara kujua kama kulikua na tukio mahakamani ama lah
Msemaji wa serikali hii hawezi itangaza kama alivyotangaza ile ya maudhui mitandaoniHongereni sana JF kwa kuichapa Serikali katika kesi moja. Tuombe na zilizobaki ziwe poa.
Sio hawajui ila wakati mwingine wanafungua kesi kwa maelekezo ya juu.Tatizo wanasheria wa serikali awajuagi kitu ...kazi zao nikubambikia watu kesi.