Mahakama ya Afrika Mashariki Arusha: Muendelezo wa kesi ya kuhoji uhalali wa muungano

Taarifa ya kuendelea kusikilizwa kwa kesi ya Muungano katika Mahakama ya Afrika Mashariki Arusha, Ombi no.9 lililowasilishwa na waombaji 40,000. linalohusiana na kuzuiliwa serikali zote mbili za Tanzania kutokufanya mabadiliko ya katiba za nchi ,kati ya Zanzibar na Tanzania.

Kutokufanyika kwa kura ya maoni juu ya suala la Muungano, kuwekewa vikwazo mbambali serikali ya Tanzania kimataifa katika nyanja mbali mbali na nchi za Afrika Mashariki, Afrika na Ulimwengu mzima.

Pamoja na mashirika ya kimataifa hadi kesi ya msingi itakapo malizika kusikilizwa na kutolewa hukumu, Ombi hili litasikilizwa mbele ya Majaji 5 siku ya Jumatano tarehe 6/6/2018 hapo Arusha saa 3:30 asubuhi. kuhusu ombi la kesi kuja kusikilizwa Zanzibar bado halijapangwa ingawa tumewasilisha marekebisho lakini mahakama italipanga kulisikiliza tena baada ya kulisikiliza ombi hili no,9.

Tunawaombeni Wazanzibari nyote tuungane kwa kulifuatilia shauri hili kwa manufaa ya nchi yetu,tafadhali sana kwa uzalendo wako ewe Mzanzibari tunahitaji mchango wako wa fikra n.k.
ili kuweza kutimiza lengo letu la kuikombowa nchi yetu katika ukoloni mambo leo wa Taifa la Tanganyika.
Tafadhali share na wengine taarifa hii.
# ZanzibarKwanza
# AjendaYaZanzibar

Habari zaidi, soma=>Wazanzibar elfu 40 wafungua kesi mahakamani kupinga muungano

View attachment 782025
hii kesi imeishia wapi mboni kimyaaa
 
hakuna anayesapoti kuvunjika kwa muungano hasa wazenji kwa kuwa wao ndo wanaitegemea Tanzania bara kwa mambo mengi tu hiyo mara nyingi ni mihemko ya watu wachache vibaraka wa sultan anayetaka kuichukua tena Zanzibar kwani haamini kama nchi kachukuliwa kizembe namna ile..

Yaani siamini kuwa tuko katika mwaka 2018 na bado kuna watu bado wanaamini kasumba hii kuwa kuna nchi fulani inataka kuitawala zanzibar. Yaani hivi inaingia akilini kweli kuwa jumuia ya kimataifa ikae iwaachie nchi ya Oman irudi zanzibar na kuifanya zanzibar himaya yao na kuwatawala wazanzibari?

Hebu nikuulize wewe una ushahidi gani madhubuti unao onyesha kuwa Oman au nchi nyengine yeyote ile duniani imeonyesha nia au ina nia ya kuitawala zanzibar?
 
Yaani siamini kuwa tuko katika mwaka 2018 na bado kuna watu bado wanaamini kasumba hii kuwa kuna nchi fulani inataka kuitawala zanzibar. Yaani hivi inaingia akilini kweli kuwa jumuia ya kimataifa ikae iwaachie nchi ya Oman irudi zanzibar na kuifanya zanzibar himaya yao na kuwatawala wazanzibari?

Hebu nikuulize wewe una ushahidi gani madhubuti unao onyesha kuwa Oman au nchi nyengine yeyote ile duniani imeonyesha nia au ina nia ya kuitawala zanzibar?
Kama itakuwa na manufaa huo utawala wa Oman kwa wa zanzibar, bac ni bora, walipo itawala waarabu zanzibar ilikuwa nchi, yenye maendeleo makubwa

Mfano

Zanzibar ilikuwa na train
Umeme wa kujitegemea

Mengine

Zanzibar ilikuwa huru kimataifa, na ndio ilio Pele kea mafanikio makubwa moja kuwa nchi ya kwa za Africa mashariki kuwa na TV, nchi ya chanza kuwa na Road lights hata London kwa mkoloni kulikuwa hakuna.

Nambie huu muungano gani unao zuia sugar ya zanzibar kuja tanganyika?
 
hao Wazanzibari ni akina nani? maana mimi najua Wazanzibari wote wametoka Zanzibara. Ni Wamakonde, Wamatumbi, Wamakua na wengineo. Wakiendeleana uchokozi watakula kesi ya uhaini sasa hivi.
 
Back
Top Bottom