Muendelezo Ajali ya Morogoro

Baba Watoto

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
393
278
Wakati Latra (zamani Sumatra) pamoja na TANROADS wanaondoa mabaki ya lori lililoungua, wameonekana baadhi ya vijana wakiwa na ndoo tupu wakijaribu kuvizia mafuta yaliyobaki baki. Yaani hapa sijui tunajifunza nini, kweli sikio la kufa... wanasema ajali kazini.

On the same note, wale wajamaa walikuaga na mifuko ya plastiki wanaofungua koki hasa maeneo ya kimara kona hadi ubungo wakikombelezea mafuta yaliyobaki hii haiwezi kuleta mushkeli kidogo?
 
IMG_20190811_230312_209.JPG


Mwingine huyo apo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom