Habari wadau wote wa elimu.
Swala langu ni kuhusu hii kozi ya AIRCRAFT ENGINEERING inaonekana itakua na soko kubwa mpk kufikia 2025-2030. Huu mtazamo wangu ni kutokana na haya yafuatayo;-
1. Leo kwenye hotuba ya Rais ameainisha kwamba kwenye hii kozi mwaka huu imetoa wahitimu 16 tu. Hivyo inaonekana watu hawajaijua au hawajajikita kuisomea wakiamini kwa TZ itakua ngumu kupata kazi zake.
2. Mimi naamini hao wahitimu 16 woote watapata ajira kwenye sekta hiyo kutokana na kutokuwepo kwa upinzani kwenye kozi hii.
3. Kuwepo na chuo kimoja tu kinachotoa kozi hii ambacho ni NIT hivyo kupelekea kudahili wanafunzi wachache tofauti na kozi zingine kama comp eng ambayo inapatikana vyu vingi kama MUST, DIT n.k
4. Ugumu wa kozi hii ambapo watu wengi hudhani kuwa ni mojawapo ya kozi ngumu sana.
5. Kununuliwa kwa ndege nyingi kwa miaka ijayo.
6. Pia mh. Rais amesema, kutokana na ndege hizo kuhitaji maintanance kila baada ya miezi kadhaa hivyo serikali itahitaji kutumia kiasi kikubwa cha fedha takribni dola million 3 kuzipeleka nje ya nchi kutokana na UPUNGUFU WA WATAALAMU KATIKA FANI HII.
Hivyo hapa ameahidi kukiboresha chuo cha NIT kimiundombinu na kuwapatia ndege ndogo kwa ajili ya mafunzo ya vitendo(KWA SABABU WATAANZISHA KOZI YA URUBANI MIAKA IJAYO)
Mimi nimeona hivyo kwa mtazamo wangu, karibuni wadau wote wa elimu tulijadili hili.
Acha kukariri kijana..huu ujinga ndio unaowacost kila siku na kubak nyuma.Kozi chechefu
Kozi ni ualimu tu kwa watoto wa wakulima
Mkuu kama huku ni nyuma, mbele ni wapi Mkuu maana nahisi kama nimepoteaAcha kukariri kijana..huu ujinga ndio unaowacost kila siku na kubak nyuma.
Mshahara hauwezi kukufanya kuwa tajiri hats ungelipwa milioni 100 kwa wiki. Mipango yako ndio itakuondoa kwenye umaskini. Mshahara ni kichocheo tu a.k.a catalyst ya uwekezaji au biashara yakoBy the way ukisomea uwalimu utakufa maskini, tuna, mshahara laki tano, ndio kazi gani hiyo
Mshahara hauwezi kukufanya kuwa tajiri hats ungelipwa milioni 100 kwa wiki. Mipango yako ndio itakuondoa kwenye umaskini. Mshahara ni kichocheo tu a.k.a catalyst ya uwekezaji au biashara yako
utakuwa mwalimu ww ona mnavyo suppotiana, by the way ualimu kufanywa ndo taaluma ya watt wa masikini ndio sababu ya kutopata walimu boraWaambie ukweli.
Mimi nimetoka familia ya kawaida sana ila katika chaguzi juu ya course ya kusomea chuo kikuu sikuwahi fikilia kusomea ualimu, najua fika ningefosiwa kusoma ualimu nisingekuwa mwalimu bora.Ifike wakati tuseme ualimu ni taaluma inayohitaji watu makini na wenye maono na sio kila mtu akimbilie tuu kisa ni mtt wa mkulimu na hii ndo inapelekea kukosa walimu boraMshahara hauwezi kukufanya kuwa tajiri hats ungelipwa milioni 100 kwa wiki. Mipango yako ndio itakuondoa kwenye umaskini. Mshahara ni kichocheo tu a.k.a catalyst ya uwekezaji au biashara yako
This is absolutely fineMimi nimetoka familia ya kawaida sana ila katika chaguzi juu ya course ya kusomea chuo kikuu sikuwahi fikilia kusomea ualimu, najua fika ningefosiwa kusoma ualimu nisingekuwa mwalimu bora.Ifike wakati tuseme ualimu ni taaluma inayohitaji watu makini na wenye maono na sio kila mtu akimbilie tuu kisa ni mtt wa mkulimu na hii ndo inapelekea kukosa walimu bora