real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,292
MUDA WOWOTE KUANZIA SASA, watumishi wapya takribani 15,000 wataanza kuajiriwa, baada ya kumalizika kwa uhakiki wa watumishi zaidi ya 12,000 walioondolewa kutokana na vyeti feki.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, George Simbachawene amesema, mchakato wa ajira hizo mpya ilitakiwa uwe umeanza lakini umechelewa kutokana na kufanyika kwa uhakiki wa idara ambazo watumishi wake waliondolewa na kwamba uhakiki huo umekamilika na kwamba orodha imeshakibidhiwa kwa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma.