Muda wa wahujumu uchumi kuomba msamaha unazidi kuyoyoma shime shime mawakili changamkieni fursa msije mkajilaumu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,567
Rais Magufuli alitoa fursa ya wiki moja kwa wahujumu uchumi na watakatisha fedha wakiri makosa yao ili DPP na mahakama ziweze kuwafikiria.

Tunakumbusha tu kuwa ule muda ndio unazidi kuyoyoma watu wasije kujilaumu baadae kwa kushindwa kutumia fursa.

Maendeleo hayana vyama!
 
Naunga mkono hoja, baada ya tangazo lile ile Jumapili, mimi Jumatatu asubuhi niliamkia magerezani kuwasisitiza kuchangamkia fursa na pia nikaleta salamu kutoka huko na kuzifikisha kwa mwenenazo.

P
 
Hivi lkn mtu anakiri kosa, anaomba msamaha kisha analipa.
Sasa je ni tayari wote wameshahukumiwa kuwa kweli walitendamo kosa ama wanasubiria hukumu Ile kujua kama kweli ni wakosa ama laa
 
hata kama hukutenda inabidi uende kuomba msamaha,lazima utumie akili zako vizuri ujue we mtu
 
Tanzania hii tunaona vituko vingi,hili jambo linawezekana vipi kisheria?why now baada ya no 1 kutoa tamko hilo hii imekuwa ndio news?je hili nalo linathibitisha kuwa mhimili wa pale Magogoni una nguvu na sauti ya kuweza kubadilisha mienendo ya kesi za kimahakama?siku itakayokuja kutokea kama Mwenyezi Mungu atakuweka hai ambapo majaji wote wa mahakama zetu watakapoanza kuomba kuwa jaji na kufanyiwa usaili kama nafasi zingine za kazi ndio siku ambao nchi hii tutaanza kuona watu wanaishi kwa mujibu wa kisheria sio sasa ambapo kila kiongozi ni mwamuzi ,RPC wa mkoa Fulani anawaanika suspects hadharani na kuwahukumu B4 ya kupelekwa kwenye court of laws wakahukumiwe kama kweli wamatenda makosa,na IGP anatamka kuwa ni makosa kufanya hivyo(kwa mara ya kwanza my IGP toka ateuliwe hili ninamuunga mkono 100%,because your innocent until proven quilty by court of law sio mtawala wa kisiasa),binafsi siafiki hili ,kesi zingekuwa fast tracked ili haki itolewe kwa suspects na kama wapo quilty basi mali zao zilizopatikana kutokana na wizi ,nchi izichukue maana ni mali ya wtanzania.
 
Rais Magufuli alitoa fursa ya wiki moja kwa wahujumu uchumi na watakatisha fedha wakiri makosa yao ili DPP na mahakama ziweze kuwafikiria.
Tunakumbusha tu kuwa ule muda ndio unazidi kuyoyoma watu wasije kujilaumu baadae kwa kushindwa kutumia fursa.
Maendeleo hayana vyama!
Wewe wakili mteja wako anaandika barua kuomba msamaha! Inamaana anaachana na wewe kama hujui, sasa utakula nini? Wakili anaishi kwa kesi hakuna kesi hakuna tonge.
 
Hovyooo
Naunga mkono hoja, baada ya tangazo lile ile Jumapili, mimi Jumatatu asubuhi niliamkia magerezani kuwasisitiza kuchangamkia fursa na pia nikaleta salamu kutoka huko na kuzifikisha kwa mwenenazo.

P
 
naunga mkono enendeni mkarudishe mashurufu ba magunia ya pesa tukamalizie reli yetu ifike chato, mwanza bwana
 
Hivi lkn mtu anakiri kosa, anaomba msamaha kisha analipa.
Sasa je ni tayari wote wameshahukumiwa kuwa kweli walitendamo kosa ama wanasubiria hukumu Ile kujua kama kweli ni wakosa ama laa
Sasa kama fedha ya escrow......iko wazi kabisa kwamba ilikwapuliwa na wakwapuaji wako dhahiri pale Mkombozi!
 
Mmh something very fishy here! Nadhani kuna watu walikuwa targeted sasa ikawa wanawatafutia uhalali flani hao wengine wakijitokeza watawasema window is closed maombi yalikuwa mengi! Tuwaone wakitoka jamaa wa tff jamaa wa simba akina kabendera etc
 
Rais Magufuli alitoa fursa ya wiki moja kwa wahujumu uchumi na watakatisha fedha wakiri makosa yao ili DPP na mahakama ziweze kuwafikiria.

Tunakumbusha tu kuwa ule muda ndio unazidi kuyoyoma watu wasije kujilaumu baadae kwa kushindwa kutumia fursa.

Maendeleo hayana vyama!
Only in stupid country !
 
Walioiba kweli wataomba msamaha
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom