Muda wa kuzaa mtoto mwingine baada ya kjifungua kwa operation

Negemu

Senior Member
Dec 26, 2017
135
127
Habari wakuu,ni miaka 2 na mwezi 1 tangu nimejifungua mtoto wangu wa kwanza, kwa njia ya upasuaji,kwa sasa nahitaji mtoto wa pili,je ni muda sahihi kiafya
 
Nadhani ni muda sahihi. Ila uhakika na majibu ya kitaalam zaidi unaweza yapata kwa madaktari walio ktk hospitali zilizo jirani nawe au hata manesi wazoefu.
 
Nashauri subiri ufunge miaka 3. Ila kama afya inaruhusu na huwa hauna complications, go for it!
 
Back
Top Bottom