Heshima zenu wakuu!
Naomba kujua ni muda gani unatakiwa kwa mwanamke aliyejifungua kwa operation kubeba mimba nyingine? Na je inawezekana kwa mwanamke huyo kujifungua mtoto mwingine kwa njia ya kawaida maana wengi wanasema ukianza kwa operation basi watoto wote utazaa kwa operation, je kuna ukweli wowote juu ya hili?
Asanteni sana