Tetesi: Muda Utasema,,,ni kuwa na subira tu...

xav bero

JF-Expert Member
Nov 24, 2016
5,134
7,324
Wakati makonda mkuu wetu wa mkoa alipotangaza vita vya Ngada au sembe au madawa ya kulevya nadhan wengi hamkumuelewa Ila baada ya hotuba ya JPM Leo wakati akiwaapisha viongozi mbali mbali ikulu jijini dar Leo,,nadhan IPO siku mtamuelewa Makonda... Ni suala la muda tu ndio tujipeni muda bila kukashifu au kuona ameshindwa wakati muda bado.....
 
Back
Top Bottom