Muda sio mrefu Serikali huenda ikaleta unafuu wa maisha kuliko miaka iliyopita

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,945
Wana jamvi
Kutokana na mikakati inayopangwa na viongozi hasa katika kuleta maendeleo na kuleta unafuu wa maisha ambao umekuwa ndio kero kuu kwa watanzania wote, mikakati ya kuboresha miundombinu, kuleta ajira nchini, mikakati ya kukusanya kodi kubwa kubwa kutoka vyanzo vikubwa na huenda ikaondoa utitiri wa kodi ndogo ndogo kwa wananchi wake,

Watanzania tujue katika kubadili mifumo kuna maumivu ya muda mfupi na kuna raha na furaha ya mrefu mrefu ipo njiani
 
Wana jamvi

Kutokana na mikakati inayopangwa na viongozi hasa katika kuleta maendeleo na kuleta unafuu wa maisha ambao umekua ndio kero kuu kwa watanzania wote, mikakati ya kuboresha miundombinu, kuleta ajira nchini, mikakati ya kukusanya kodi kubwa kubwa kutoka vyanzo vikubwa na huenda ikaondoa utitiri wa kodi ndogo ndogo kwa wananchi wake, Watanzania tujue katika kubadili mifumo kuna maumivu ya muda mfupi na kuna raha na furaha ya mrefu mrefu ipo njiani
TRUMP leo amelihutumia baraza la congress........................................
 
kwetu leo umepunguzwa 24 kila nikiiangalia picha ya huyu jamaa natamani kuivunjavujnja mchewwwwwwwwwww
Una maana ofisini kwenu wamepunguzwa wafanyakazi 24? Duh, poleni sana. Huko mtaani watu kibao hawana ajira, sasa ukimpunguza mtu ni kumpa shida kubwa, kwani alishazoea maisha flani hv!
 
Wana jamvi

Kutokana na mikakati inayopangwa na viongozi hasa katika kuleta maendeleo na kuleta unafuu wa maisha ambao umekua ndio kero kuu kwa watanzania wote, mikakati ya kuboresha miundombinu, kuleta ajira nchini, mikakati ya kukusanya kodi kubwa kubwa kutoka vyanzo vikubwa na huenda ikaondoa utitiri wa kodi ndogo ndogo kwa wananchi wake, Watanzania tujue katika kubadili mifumo kuna maumivu ya muda mfupi na kuna raha na furaha ya mrefu mrefu ipo njiani
Hujitambui na hujui ulisemalo!!!!
 
Una maana ofisini kwenu wamepunguzwa wafanyakazi 24? Duh, poleni sana. Huko mtaani watu kibao hawana ajira, sasa ukimpunguza mtu ni kumpa shida kubwa, kwani alishazoea maisha flani hv!
jana walitangaza na leo wanagawa barua uwiiiiiiii
 
Mfalme hajavaa nguo na hamna mwenye ujasiri wa kumwambia
Watu wake wa karibu wamebaki kumwimbia sifa tu
Binafsi nilikuwa namuunga mkono lakini siyo sasa. Madudu yake mzee Mwanakijiji kayaita "distractions". Nadhani anajaribu kuwa mpole tu. Limeishavunda hilo!
 
Wana jamvi

Kutokana na mikakati inayopangwa na viongozi hasa katika kuleta maendeleo na kuleta unafuu wa maisha ambao umekua ndio kero kuu kwa watanzania wote, mikakati ya kuboresha miundombinu, kuleta ajira nchini, mikakati ya kukusanya kodi kubwa kubwa kutoka vyanzo vikubwa na huenda ikaondoa utitiri wa kodi ndogo ndogo kwa wananchi wake, Watanzania tujue katika kubadili mifumo kuna maumivu ya muda mfupi na kuna raha na furaha ya mrefu mrefu ipo njiani
Kama hamlipi madeni ya ndani mtakusanyaje kodi nyingi,hiyo miondo mbinu km watu wenu wana kufa na njaa inasaidia nini
 
Nijuavyo Mimi, duniani wakati wa furaha ni mfupi kuliko wa tabu....najua tuko ktk tabu japo furaha yaja
 
Ndoto za mchana za mtu mwenye njaa. Ingendeza zaidi kama ungesema umeota ndoto.
 
Unalipwa sh ngp kwa kaz hii?
Unaishi Tanzania kweli?
Unayajua maisha ya wananchi kwa sasa
Au unabwabwaja tu?
2020 zitapigwa push up za kichwa nadhan
 
Back
Top Bottom