Nchi Kavu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 4,291
- 2,466
Kwa hali ilivyo sasa ndani ya chama ccm na serikali ni wazi rais ana wakati mgumu kiuongozi.
Kauli yake kuwa mambo ya vyama weka kando na tufanye kazi ni kauli ya maandalizi ya mageuzi ambayo hatujawahi kuyashuhudia huku bara.
Pale ambapo jpm atawaangukia upinzani na kuhitaji kufanya nao kazi. Kauli ya mama samia alipokuwa huko mikoani nayo inaonesha wazi kuwa wanaheshimu na wanahitaji mchango wa upinzani.
Kauli ya waziri mkuu bungeni kuwa watafanyia kazi mawazo ya zitto nayo yanaleta mwangaza. Jpm ndani ya mfumo wa sasa hawezi kufanya kazi kwa namna anavyotaka kutokana na ukweli kuwa ccm walishajijengea milki ya rasilimali.
Mh. Rais kaa na wapinzani mshirikiane kuona nini cha kufanya ili kuivusha hii nchi salama ....