Muda ndo huu, himahima Wanayanga, tukutane Taifa kuwashabikia Al Ahly.

Habari Wakuu!

Wanayanga tupo? Mimi ndo natoka zangu maeneo kazini kwangu naelekea Uwanja wa Taifa kushuhudia mtanange wa kihistoria kati ya Simba dhidi ya Al Ahly.

Ninatumaini kuwa kwa pamoja wanayanga tutaonesha ushabiki uliotukuka kuwashabikia waarabu pale Taifa.

Tuwahi wanayanga kufika Uwanjani ili tupate siti za kutosha, tusisahau kubeba maji ya kunywa kwa ajili joto, jezi zetu za Yanga bila kusahau Maziwa lita moja kwa ajili ndugu zetu mashabiki wa Simba ili kwamba wakinywa sumu tuwawahi na maziwa.

Ahsante Saana!
Mkuuu sasa hivi aibu unayojiskia ni Zaidi ya ile ya AmberRutty
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom