Muda ndo huu, himahima Wanayanga, tukutane Taifa kuwashabikia Al Ahly.

Aleyn

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
13,160
2,000
Habari Wakuu!

Wanayanga tupo? Mimi ndo natoka zangu maeneo kazini kwangu naelekea Uwanja wa Taifa kushuhudia mtanange wa kihistoria kati ya Simba dhidi ya Al Ahly.

Ninatumaini kuwa kwa pamoja wanayanga tutaonesha ushabiki uliotukuka kuwashabikia waarabu pale Taifa.

Tuwahi wanayanga kufika Uwanjani ili tupate siti za kutosha, tusisahau kubeba maji ya kunywa kwa ajili joto, jezi zetu za Yanga bila kusahau Maziwa lita moja kwa ajili ndugu zetu mashabiki wa Simba ili kwamba wakinywa sumu tuwawahi na maziwa.

Ahsante Saana!
 
SaaMbovu

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
5,440

Uzuri Mkiujaza uwanja Simba ndio inapata mapato zaidi. Hizo hela za kiingilio si mchangie Yanga jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
80,414
2,000
Habari Wakuu!

Wanayanga tupo? Mimi ndo natoka zangu maeneo kazini kwangu naelekea Uwanja wa Taifa kushuhudia mtanange wa kihistoria kati ya Simba dhidi ya Al Ahly.

Ninatumaini kuwa kwa pamoja wanayanga tutaonesha ushabiki uliotukuka kuwashabikia waarabu pale Taifa.

Tuwahi wanayanga kufika Uwanjani ili tupate siti za kutosha, tusisahau kubeba maji ya kunywa kwa ajili joto, jezi zetu za Yanga bila kusahau Maziwa lita moja kwa ajili ndugu zetu mashabiki wa Simba ili kwamba wakinywa sumu tuwawahi na maziwa.

Ahsante Saana!
huna uzalendo , beberu we !
 
Baba Kiki

JF-Expert Member
May 31, 2012
1,542
2,000
Huu mradi wanaojipa baadhi ya mashibiki wa Yanga hauna maana. Wangeweka nguvu kushangilia timu yao na kuachana na mambo ya kushobokea wageni. Hadi sasa kila timu waliyoshabikia Taifa, ukianza na Mbabane, Nkana, Soura na sasa Ahly zote zimepasuka. Hawashtuki?
 
BlackPanther

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
7,531
2,000
Wamebahatisha sana, ila bado wanasafari ndefu sanaa...Vita anakuja, simba ataenda algeria...
haponi mtu hapo....Vivaa Wydad Casablanca
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom