HAYA KWA WAPENZI WACHELEWAJI UNADHANI IPI NI SILAHA YAKO YA KU R.I.P
UKIFUNGUA MLANGO TU..UNAKUTANA NA HICHOHuyu unamuibukia kesho yake asubuhi saa mbili mbili hivi. Atakua hoi kalala kwa kukesha usiku wote anakusubiri. Unampa dose yake ya Morning Glory mwenyewe anaingia jikoni na kukutaarishia breakfast ya nguvu na mazagazaga yake.
cc Watu8, Preta, Moneystuna
Mkuu inategemeana na mpigaji na upigajiHivi hilo Lungu la kusukumia chapati na kikaango chenyewe kipi kinaumiza zaidi .. ??